Skip to main content

Posts

Showing posts from January 13, 2016

MAGAZETINI LEO ALHAMISI

Zimbabwe: Social Media Abuzz With Mugabe Collapse Rumour

Robert Mugabe is rumoured to have had a heart attack while on holiday (Picture: Reuters) Social media was abuzz on Wednesday with rumours doing the rounds that Zimbabwean President Robert Mugabe was in a critical condition following a heart attack. Several online media outlets also carried the story. According to a UK publication, The Daily Star, Mugabe reportedly collapsed on Tuesday while on annual leave in Singapore. Reports of high-level meetings have also been circulated, with some suggesting that the president may hand over power as a result of his ill health. South African radio station SA FM also carried the story, having later retracted their statement, saying the claims were unsubstantiated and may form part of a hoax. Attempts by News24 to gain official commentary on the matter proved futile, with calls to Mugabe's spokesperson, George Charamba getting no response. Although the development remains unconfirmed, social media has been set abl...

TIGO YASHEHEREKEA SIKU YA MAPINDUZI NA WATEJA ZANZIBAR

Mkazi wa Malindi Salim Salim akipokea zawadi ya Tisheti kutoka kwa mfanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar Moses Kalyata wakati wa siku ya maadhimisho ya mapinduzi ya visiwani humoHE  Mkazi wa Bumbwini Ally Said akikabidhiwa zawadi ya Kofia na Magnus Saulo mmoja wa wafanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar ikiwa ni moja ya shughuli zilizofanyika katika sherehe za mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika jana nchini humo  Mkazi wa Bububu Rashid Salehe Akipokea zawadi ya kofia kutoka kwa mfanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar Magnus Saulo kama moja ya shughuli zilizofanyika jana wakati wa maadhimisho ya mapinduzi ya Zanzibar  Mkazi wa Malindi akipokea zawadi ya Tisheti kwa mmoja wa wafanyakazi wa duka la Tigo Zanzibar Moses Kalyata katika moja zilizofanyika katika maadhimisho ya siku ya mapinduzi jana visiwani humo  Vinywaji na chakula vikiwa vimeandaliwa tayari kwa ajili ya wateja wote w...

Wateja wa Tigo Pesa kuvuna 4.4bn/- gawio la robo mwaka

Mkuu wa Fedha na Tahadhari wa Huduma ya Fedha kwa njia ya mtandao Tigo, Obedi Laiser akielezea kuhusu gawio la mwaka huu kwa watumiaji wa Tigo Pesa, kushoto kwake ni Meneja wa Mawasiliano, John Wanyancha Waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini maelezo kuhusu gawio la mwaka huu la tigo pesa katika mkutano uliofanyika mapema leo katika makao makuu ya Tigo Kijitonyama Dar es salaam. Mkuu wa Fedha na Tahadhari wa Huduma ya Fedha kwa njia ya mtandao Tigo, Obedi Laiser akijibu maswali ya waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu gawio la mwaka huu kwa watumiaji wa Tigo Pesa, kushoto kwake ni Meneja wa Mawasiliano, John Wanyancha Dar es Salaam, Januari 13, 2016- Kampuni inayongoza katika kuleta maisha ya kidijitali kwa jamii, Tigo, imetangaza tena malipo ya robo mwaka ya shilingi bilioni 4.4 (dola milioni 2.1) kwa watumiaji wake wa huduma ya Tigo Pesa wapatao milioni 4.6.   “Gawio hili la faida linalipwa kwa watumiaji wote wa Tigo Pesa wakiwemo wateja binafsi, mawakala wa r...