Mkurugenzi wa Maendeleo ya Sanaa kutoka wizara yake, Leah Kihimbi (kulia) ambaye alimwakilisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Michezo na Sanaa, Dk Harrison Mwakyembe aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa bia mpya aina ya Lite akitosti glasi na Mkurugenzi wa Fedha na Bodi ya SBL, Kalpesh Mehta (kushoto) na mjumbe wa bodi ya SBL, Chris Gachuma wakati wa hafla ya uzinduzi wa bia hiyo iliyofanyika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana. Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ceaser Mloka,akizungumza katika uzinduzi huo. Crew nzima ya Kampuni ya PR ya Concept ikiwa katika uzinduzi huo. Maofisa kutoka SBL wakijadiliana jambo. Wakati wa utambulisho. Kushoto ni mbunifu wa bia hiyo. Wasanii wakitoa burudani katika uzinduzi huo. Mjumbe wa Bodi Chris Gachuma akizungumza katika uzinduzi huo. Wadau wakiwa kwenye uzinduz huo. Ni furaha tupu katika uzinduzi huo. Kulia ni Meneja Masoko wa SBL, Anitha Rwehumbiza. ...