Skip to main content

Posts

Showing posts from June 30, 2015

MUSA MDEDE apata Baraka za kuwa mbunge wa jimbo la kalenga kutoka kwa vijana wa kikatoliki wa jimbo hilo

MUSA LEONARD  MDEDE akitoa neno katika kongamano la vijana wa katoliki  baadhi ya vijana wakimsikiza mdede katika kongamano hilo. baadhi ya viongozi wa vijana hao wakiwa makini kumsikiliza mdede mdede akiingia katika ukumbi uliokuwa unafanyika sherehe na fredy mgunda, iringa Vijana wa kikatoliki waliokuwa  kwenye kongamano lililofanyika katika kijiji cha ulete wamewataka wananchi wa  jimbo la kalenga kuelekeza macho na masikio yao kuhakikisha wanamchagua kijana mwenzao ambaye ameonekana kuwa na uwezo wa kuwa kiongozi bora na kuwaletea  maendeleo katika jimbo hilo.

MAGAZETI LEO JUMANNE