Skip to main content

Posts

Showing posts from March 17, 2016

RC MBEYA, AMOS MAKALA, ATOA MAAGIZO MAZITO KWA WATUMISHI WA SERIKALI

*Kila Alhamisi wakuu wa Wilaya, wakuu wa idara kwenda vijijini Na Gordon Kalulunga, Mbeya MKUU wa mkoa wa Mbeya, Amos Makala, amekabidhiwa rasmi ofisi yake leo na aliyekuwa Mkuu wa mkoa huo Abbas Kandoro, huku akitoa maagizo manne mazito kwa watumishi wa serikali. Makala alisema kuwa, wakuu wote wa wilaya na wakuu wa idara katika Halmashauri za wilaya zilizopo mkoa wa Mbeya, kila siku ya Alhamisi kuanzia saa nne mpaka saa nane mchana ni marufuku kukaa ofisini bali wanatakiwa kwenda kupokea kero za wananchi vijijini na kuzishughulikia. “Mimi sijaja kutengua torati bali kutimiliza. Kila mmoja wetu atimize wajibu wake na kuacha vyeo vya uadmin wa magroup kwenye Whats App na face book” alisema Makala. Alisema agizo lingine hataki kusikia masuala ya ugonjwa wa kipindupindu katika Halmashauri za mkoa wa Mbeya, huku akiagiza kuwa lazima mazingira yawekwe safi. Kuhusu watumishi hewa wanaolipwa mishahara alisema jambo hilo halihitaji digrii ili kuelewa...

Budget 2016: George Osborne's giveaways 'mask £56bn black hole'

Chancellor announces range of eye-catching measures including levy on sugary drinks, but Office for Budget Responsibility warns of looming fiscal hole George Osborne has been accused of using a range of accounting devices to disguise a looming ‘black hole’ in the government’s finances. Photograph: Reuters Tv/Reuters Larry Elliott and Heather Stewart George Osborne’s attempt to woo voters ahead of Britain’s EU referendum has come under immediate and intense scrutiny after he used a range of accounting devices to disguise a looming £56bn “black hole” in the government’s finances and deliver a promised surplus by the end of the decade. Despite being faced with a markedly weaker outlook for the economy, the chancellor announced a range of eye-catching measures on Wednesday including a levy on sugary drinks , lower income tax bills, a cut in corporation tax and help for small businesses , in a budget he said would “put the next generation first”. But Osborne’s pl...