Skip to main content

Posts

Showing posts from September 16, 2016

DEMOCRACY MUST BE LINKED TO ECONOMIC GROWTH

Voters turn out in Dili to cast their vote for the parliamentary elections in the morning. Photo by UNMIT/Martine Perret. 7 July 2012 MBEYA: Economic growth, reduction of poverty and improved quality of life rely on good governance and increased accountability, a firm commitment made by Tanzania government through its Strategy for Growth and Reduction of Poverty phase two, Cluster three.  This is contained in a statement issued on Thursday September 15, 2016 to mark International Day of Democracy by a youth led and youth focused Non Governmental Organization (NGO) Youth Education through Sports Tanzania (YES Tanzania).  According to YES Tanzania Executive Director Kenneth Simbaya, Tanzania recognizes the importance of democracy and link between democracy and development as demonstrated in National Strategy for Growth and Reduction of Poverty (NSGRP) II popularly known as MKUKUTA II.  He said MKUKUTA II is very clear on what we need to do as a coun...

HABARI NJEMA-WATANZANIA WALIOTEKWA KONGO TAARIFA YAKE MPYA HABARI NJEMA-WATANZANIA WALIOTEKWA KONGO TAARIFA YAKE MPYA HII HAPA

Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokuwa wametekwa katika nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo hatimaye wameokolewa na vikosi vya jeshi la nchi hiyo. Waziri wa mambo ya ndani wa nchi hiyo amezungumza na shirika la utangazaji la BBC na kusema wote wameokolewa na wako salama Taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ilieleza kuwa watekaji hao ni kikundi cha waasi cha MaiMai ambao baada ya kuyateka magari 8 toka Tanzania , waliwashusha madereva na kuwapeleka porini na kisha kuteketeza kwa moto malori manne ambayo yote ni ya Bw. Dewji.  Waasi hao walioa saa 24 kuanzia jana saa 10 jioni walipwe fedha kiasi cha Dola za Kimarekani 4,000 kwa kila dereva ili waweze kuwaachia. MREMA AMFAGILIA MCHUNGAJI LWAKATARE,SOMA HAPO KUJUA Kukosekana kwa fedha ya kukamilisha mchakato wa sheria ya Parole kwa wafungwa mbalimbali nchini waliomaliza nusu ya kifungo chao gerezani ni miongoni mwa sababu yakuwepo mrundaka...

Vijana nchini wahimizwa kuunga mkono kampeni ya Uchumi wa Kijani

Mkutano Vijana na Uchumi wa Kijani Baadhi ya picha kutoka katika mkutano huo. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika lisilo la Kiserikali la Raleigh Tanzania, Bw Alistar Mackay akizungumza na washiriki wa mkutano Washiriki wa mkutano huo Wawakilishi wa taasisi na ofisi za serikali Mgeni Rasmi akizungumza na waandishi wa habari Ms Clara Makenya kutoka United Nations Environment Programme akizungumzia uchumi wa kijani katika mkutano huo. Vijana nchini Tanzania wa himizwa  kujiunga na kampeni ya Vijana kwa Maendeleo ya Kijani ili kulinda mazingira kwa kuyafanya endelevu sambamba na kujiiinua kiuchumi. Hayo yalibainishwa na Afisa Mawasiliano wa shirika la kimataifa la Raleigh Tanzania Bw. Kennedy Mmari wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya Uchumi wa Kijani kwa Vijana iliyofanyika kwatika ukumbi wa British Council. Bwana Mmari alisema kuwa wao kama shirika linalojihusisha na vijana wamekuja na kampeni hii ya kitaifa kwakua w...

SERIKALI KUFUTA UJINGA IFIKAPO MWAKA 2030

Ofisa Elimu Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mapunda (katikati), akisoma hutuba kwa niaba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), George Simbachawene wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kusoma Vitabu chini ya Hema Duniani yaliyofanyika Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi ya Room to Read, Peter Mwakabwale, iliyoratibu maadhimisho hayo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Haki Elimu, John Kalaghe.  Ofisa Elimu Mkoa wa Dar es Salaam, Raymond Mapunda (kulia), akizungumza kwenye maadhimisho hayo. Kutoka kushoto ni Meneja wa Mradi wa Usomaji Room to Read, Mkurugenzi wa Mradi, Room to Read, Juvenalius Kurulatera na Mkurugenzi Mkuu, Haki Elimu, John Kalaghe. Wanafunzi wakishiriki maadhimisho hayo. Maadhimisho yakiendelea. Wadau wakifuatilia mada kwenye maadhimisho hayo. Mkutano ukiendelea. Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Mbaruku kutoka wilayani Bagam...