Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli akiwatambulisha wasanii walioambatana nao ambao ni Fid Q na Mwana FA. Wasanii P. Funky Majani na Ditto wakisiliana wakazi wa Iringa, wasanii waliambatana msafara wa January Makamba ambaye anatafuta wadhimini katika mikoa mbalimbali Nyanda za Juu Kusini. Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Januari Makamba ambaye pia ni Mbunge wa Bumbuli (CCM) akimtambulisha mke wake.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.