Skip to main content

Posts

Showing posts from July 9, 2015

Budget 2015: Osborne hopes minimum wage increase will soften welfare cuts

George Osborne and his Treasury team as he prepared to deliver the budget. The chancellor aimed to outmanoeuvre Labour with his national living wage. Photograph: WPA Pool/Getty Images. George Osborne sought to outflank Labour and soften the blow from a £12bn cut to Britain’s welfare bill when he made a big rise in the minimum wage the centrepiece of the first Conservative budget in almost two decades. In a move that went further than Labour was planning at the general election, the chancellor said employers would be forced to pay staff a minimum of £7.20 an hour from next April and raise wages by 6% a year on average to around £9 an hour by the end of the parliament. Relishing the freedom to deliver his latest budget unfettered by coalition, the chancellor eased up on the pace of deficit reduction and reduced the size of the cuts that Whitehall departments will face in the coming years. On the assumption that the economy grows steadily at around 2.5% a y...

HOTUBA YA JK WAKATI AKIHUTUBIA BUNGE DODOMA

Rais Jakaya Kikwete akihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo jioni huku Spika wa Bunge hilo Anna Makinda (kulia) akifuatilia kwa umakini mkubwa. (Picha kwa Hisani ya Ikulu) HOTUBA YA MHESHIMIWA DR. JAKAYA MRISHO KIKWETE, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WAKATI WA KUAGANA NA BUNGE NA KULIVUNJA BUNGE LA KUMI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, UKUMBI WA BUNGE, DODOMA TAREHE 9 JULAI, 2015. Mheshimiwa Spika; Tunayo kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehma kwa kutujalia uzima na kutuwezesha kuishuhudia siku hii adhimu katika historia ya Bunge letu na nchi yetu. Hatimaye siku ya kuvunja Bunge la Kumi imewadia ili kuwezesha hatua husika za mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 ziweze kutekelezwa. Nakushukuru sana Mheshimiwa Spika kwa kunipatia nafasi hii ya kulihutubia Bunge lako tukufu ili niweze kutimiza wajibu wangu huo wa msingi Kikatiba. Lakini, shukrani zangu kubwa ni kwa uongozi wako mahiri na shupavu. Umeliongoza Bunge...

VILIO NA MAJONZI SINGIDA WAKATI MO AKIWAAGA WANANCHI WAKE!

Mbunge wa Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji akiwapungia wapiga kura wake kama ishara ya kuwaaga rasmi baada ya kutangaza kutogombea tena ubunge wa jimboni humo wakati wa mkutano mkubwa wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa miaka 10 ya kuwatumikia wananchi wa Singida. (Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog). SINGIDA: MBUNGE wa Singida mjini na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji amesema hatagombea ubunge wa jimbo hilo tena baada ya kulitumikia kwa miaka 10 na kuwezesha maendeleo makubwa katika sekta ya elimu na afya. Mbunge huyo alisema hayo akihutubia maelfu ya wananchi waliokusanyika katika uwanja wa People's Club (MB) wakati wa uwasilishaji wa utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya mwaka 2005/ 2010 na 2010/ 2015 kwenye mkutano mkuu wa jimbo. Katika utekelezaji huo ametumia shilingi bilioni 5.