KUMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imekabidhi kompyuta kumi (10) pamoja na kifurushi cha intaneti ya bure yenye kasi ya 2Mbps kwa muda wa miezi sita vyote vikiwa na thamani ya 20,197,600/- kwa ajili ya Iringa Secondary School Internet Library (ISSIL). Kampuni ya simu hiyo ya kizalendo ambayo inatoa huduma mbalimbali za mawasiliano nchi imetoa misaada hiyo Global Outreach Tanzania ili kuunga mkono mradi wa maktaba mtandao (intaneti) katika kuboresha mfumo wa elimu nchini.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.