Wachezaji wa wakigombania mpira wa kona katika lango la timu ya Lipuli wakati wa mechi dhidi ya Singida United (jezi la rangi ya kijani) ya mkoani Singida katika Uwanja wa CCM Samora mjini Iringa Jumapili. Timu ya Lipuli ilishinda 1-0. (Picha na Friday Simbaya) Mshambuliaji wa Timu ya Singida United Deus Kaseke mwenye jezi namba saba (7) mgongoni akijaribu kumtoroka Beki wa timu ya Lipuli FC Daruwesh Saliboko katika mechi iliyopigwa Jumapili katika Uwanja wa CCM Samora mjini Iringa. Lipuli FC iliishinda Singida United 1-0. (Picha na Friday Simbaya) Mshambuliaji machachari wa Timu ya Lipuli ya mjini Iringa Malimi Busungu akishangilia baada ya kufunga bao la kwanza ndani ya dakika 17 kipindi cha kwanza ya mechi dhidi ya Singida United jana (Jumapili) katika uwanja wa CCM Samora mjini Iringa. Matokeo mechi hiyo Lipuli FC dhidi ya Singida United yalikuwa 1-0. (Picha na Friday Simbaya) Mashabiki wa Timu ya Lipuli FC wakisangilia timu ya kwa mavuvuzela dhidi ya Sin...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.