Katibu wa CCM mkoani Iringa, Hassan Mtenga (wa pili kushoto) akisikiliza kilio cha maji kutoka kwa wananchi wa kijiji cha Igunga kilichopo Ilula wilayani Kilolo, mkoa wa Iringa jana (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA) Mkazi wa Ilula wilayani kilolo ambaye akifahamika jina lake mara moja akielezea tatizo la uhaba wa maji kwa Katibu wa CCM mkoani Iringa, Hassan Mtenga (hayupo pichani) (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA) Na Friday Simbaya, Kilolo Wananchi wa mji mdogo wa Ilula wilayani Kilolo mkoani Iringa wamesema uhaba wa maji ni moja ya chanzo kinachochangia kusambaratika kwa ndoa pamoja na kuongozeka kwa maambukizi ya Ukimwi, THE SCOOP imeelezwa.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.