Skip to main content

Posts

Showing posts from January 10, 2017

MAGAZETI YA LEO

MBUNGE COSATO CHUMI: UMEME CHANZO CHA KUDHOROTESHA HUDUMA BORA ZA AFYA

Mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi kulia akisikiliza kilio cha wafanyakazi wa zahanati na vituo vya afya alipotembelea kujionea na kusikiliza changamoto za huduma za afya katika jimbo lake ili kuzitafutia ufumbuvi na kuboresha huduma hiyo. Na fredy mgunda,Iringa MBUNGE wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato Chumi alifanya ziara ya kuzitembelea zahati,vituo vya afya na hospitali za jimbo hilo kwa lengo la kujionea changamoto za kiafya.  Akiwa katika ziara hiyo alikumbana na changamoto ya kukosekana kwa umeme katika baadhi zahati za jimbo hilo na kuahidi kulipeleka tatizo hilo bungeni ili litafutiwe ufumbuzi mapema. Akizungumza na blog hii Chumi alisema tatizo la umeme katika vituo na zahati ni kubwa hivyo inahitajika nguvu ya ziada kutatua tatizo la umeme ili kuboresha afya za wananchi wake pamoja na huduma ya mama na mtoto. “Hii inasikitisha sana hebu angalia zahati zinavifaa vyote mhimu ila umeme ndio tatizo hatuwezi kupata hu...