Skip to main content

Posts

Showing posts from October 20, 2017

HALMASHAURI ZA AGIZWA KUWEKA KAZI ZA TFDA KWENYE MIPANGO KAZI NA BAJETI ZAO

Mkuu wa Wilaya ya Mufindi (DC) Jamhuri David William ameziagiza halmashauri zote wilayani hapa kuingiza kazi zilizokasimiwa na Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) katika mipango kazi na bajeti. Alisama kuwa kuna halmashauri hazijaingiza kabisa au zimeingiza kiasa kidogo cha kazi zilizokasimiwa na TFDA katika mipango ya kazi na bajeti. William alisema hayo jana wakati wa akifunguzua mafunzo ya wakaguzi wa halmashauri na kamati za chakula na dawa kuhusu uimarishaji wa utekelezaji wa majukumu ya TFDA yaliyokasimiwa kwa halmashauri. Jumla ya wakaguzi 35 na wajumbe 15 wa kamati za chakula na dawa katika halmashauri ya mji wa Mafinga na halmashauri ya Mufindi walipata mafunzo hayo. Alisema kwamba kutoinzingiza masula ya TFDA katika mipango ya kazi na bajeti kuna kunakwamisha juhudi za serikali katika kudhibiti ubora, usalama na ufanisi wa bidhaa za chakula, dawa, vifaa tiba na vipodozi. DC William aliziagiza pia halamashauri kutumia fursa ya kanuni m...

FUNDACION PARAGUAYA DISSEMENTING WORKSHOP- DODOMA

Hugo Florentin welcoming and making opening words to the workshop participants held at Morena Hotel in Dodoma region today. Laina Mwandoloma welcoming and making opening words to the workshop participants held at Morena Hotel in Dodoma region today. Students gallery/ tables Poster reading Revocatus is showing a stool of made from recycled water bottles at the students gallery/ tables and posters Students gallery/tables  HDIF representative admiring a stool made by one of school business clubs using recycled materials during the students gallery. Business Club coordinator Revocatus Kashaga making a presentation on implementation of business clubs. Paraguay Foundation (PF) is nonprofit organization which was established in 1985 in Paraguay, South America. It is non profit. Since 2005 the Fundación Paraguaya has been proactively striving to disseminate the Self-Sufficie...