Skip to main content

Posts

Showing posts from December 11, 2012

URANIUM

Mwanajiolojia Mkuu wa kampuni ya kuchimba Urani ya Mantra Tanzania Limited, Emmanuel Nyamusika akionyesha mmoja ya sampuli za urani zilizofanyiwa utafiti kwa waandishi wa habari mkoa wa Ruvuma walipotembea kampuni  hiyo jana.

USAJILI WA WATOTO KUANZA DARASA LA KWANZA MWAKANI WA PAMBA MOTO

Mwanafunzi wa shule ya awali Christopher Simbaya akifanya mtihani wa majaribio kwa kuandika namba 2-10 ubaoni leo wa kuingia darasa la kwanza mwakani katika Shule ya Msingi ya Peramiho wilayani Songea, Mkoa wa Ruvuma . (Picha na Friday Simbaya)