Skip to main content

Posts

Showing posts from October 29, 2015

Jesca: Siwezi kujiuzulu kwa shinikizo la majungu, fitina na vikundi vya uasi...

Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akizungumza na waandishi wa habari jana.  Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu amesema hawezi kujiuzulu nafasi yake hiyo kwa shinikizo linalotokana na majungu, fitina na vikundi vya uasi vinavyoanzishwa ndani ya chama kwa lengo la kulinda maslai ya watu fulani. “Hizi ni hoja zisizo na mashiko, hivi inawezekaneje mimi na hao wengine wanaowataja katika kipindi chote cha kampeni tufanye kazi ya kukihujumu chama, tuvumiliwe tuendelee na kazi hiyo, halafu tuhuma hizo zije zitolewe sasa baada ya kushindwa uchaguzi?” alisema. Kwa kutumia vikao na taratibu zingine za katiba yake, CCM inapaswa kukaa chini na kufanya tathmini ya kina ili kujua sababu zilizopelekea wakapoteza jimbo na kata hizo. Wanachama hao wanawatuhumu viongozi hao kuwahujumu katika Uchaguzi Mkuu wa mbunge, madiwani na rais hali iliyosababisha kipoteze jimbo hilo na halmashauri baada ya kupoteza kata 14 kati ya 18.  ...

UN TANZANIA STATEMENT ON TANZANIA GENERAL ELECTIONS

UN Resident Coordinator, Alvaro Rodriguez. Dar es Salaam, 29 October 2015: The United Nations is following very closely the Tanzanian general elections of 25 October and congratulates the president elect. We congratulate Tanzanians for exercising their democratic rights in a peaceful manner. We take note of the international observers statement (Commonwealth, AU, SADC and EU) of today that indicates they are pleased that the voting and counting took place in an environment of peace. However, the observer missions as well as the US Embassy and UK High Commission have also shared their great concern with the statement issued by the Chairman of the Zanzibar Electoral Commission in which he nullified the Zanzibar elections. We call on political leaders to promote an environment of peaceful dialogue to resolve their differences and to ensure a continued peaceful and democratic elections process. It is through this peaceful and democratic process that the social and econo...

AMKA NA MAGAZETI LEO IJUMAA NA SIMBAYABLOG

CHADEMA MJINI IRINGA YAZOA VITI 14 VYA UDIWANI

THE opposition party Chadema in Iringa Urban Constituency has raised from ashes by scooping 14 wards in this year general elections as compared to last general elections in 2010 when they got only one ward out of 18, the SIMBAYABLOG has discovered. Chadema in 2010 general elections had only one ward but in this year general elections have managed to get 14 wards out of 18 total wards in the Iringa Municipality. In the well-contested general elections 2015 CCM has managed to retrieve only four wards out of 18 including Miyomboni-Kitanzini, Nduli, Mlandege and Mshindo wards. The former Iringa Town Mayor, Amani Mwamwindi has hold on to his Mlandege Ward but this time around be a ordinary ward councilor because the all municipal council will be under Chadema. The wards which Chadema has shoveled in this year’s general elections including Kihesa, Mtwivilla, Ilala, Gangilonga, Mivinjeni, Kwakilosa, Ruaha, Mkimbizi, Mkwawa, Kitwiru, Makorogoni, Mwangata, Isa...

AMKA NA MAGAZETI LEO SIMBAYABLOG