Skip to main content

Posts

Showing posts from April 14, 2017

SIMBAYABLOG TUNAWATAKIA HERI YA PASAKA WOTE TUNA WAPENDA

ASKOFU DK.ALEX MALASUSA AONGOZA IBADA YA IJUMAA KUU KATIKA KANISA LA KKKT

Muumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front, Moses Kombe (katikati) na wenzake wakiigiza igizo la kumbukumbu ya kuambwa msalabani kwa Yesu Kristo miaka 2000 iliyopita katika ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika katika kanisa hilo jijini Dar es Salaam leo jioni. Igizo likiendelea. Askofu mstaafu Dk. Alex Malasusa akisalimiana na waumini wa kanisa hilo baada ya ibada ya Ijumaa Kuu. Muonekano wa waumini wakati wa ibada hiyo. Kwaya Kuu ya Ushairika huo ikitoa burudani ya nyimbo za kifo chake Yesu Kristo wakati wa kuhitimisha ibada hiyo. Waumini wa kanisa hilo wakiwa nje kwa kuhitimisha ibada hiyo. Waumini wakitakiana kheri ya Ijumaa Kuu baada ya ibada hiyo.

VIJANA WASHAURIWA KUUNGA MKONO MABADILIKO NDANI YA CHAMA

Wanafunzi wa vyuo vikuu vilivyopo mkoani Iringa ambao ni wanachama cha CCM wakiitikia salama kutoka kwa katibu wa masuala ya kisiasa na mahusiano ya kimataifa Kanal mstaafu Ngemela Lubinga  kwenye mkutano wa CCM  uliyofanyika mjini Iringa juzi. (Picha na Friday Simbaya) Katibu wa masuala ya kisiasa na mahusiano ya kimataifa Kanal mstaafu Ngemela Lubinga akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu vilivyopo mkoani Iringa juzi. (Picha na Friday Simbaya) CHAMA Cha mapinduzi (CCM )kimewataka vijana kuunga mkono mabadiliko yanayofanywa na chama hicho ka kuwa yanalnga kuleta ufanisi ya chama.  Kauli hiyo na katibu wa masuala ya kisiasa na mahusiano ya kimataifa Kanal mstaafu Ngemela Lubinga juzi kwenye mkutano wa CCM wakati akizungumza na wanafunzi wa vyuo vikuu vilivyopo mkoani Iringa ambao ni wanachama cha CCM.  Alisema kuwa kuna watu wanabeza mabadiliko yaliyofanywa na chama hicho hivi karibuni mjini Dodoma na kuongeza kuwa m...