Skip to main content

Posts

Showing posts from February 16, 2015

UTATA WAENDELEA KUJITOKEZA NANI ATAKUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA IRINGA MJI

  fredrick mwakalebela akizungumza na waandishi wa habari  mwanahabari frank kibiki, aliyewahi kuwa katibu wa umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (uvccm) ngazi ya wilaya kwa zaidi ya miaka 10 na ambaye ni mjumbe wa nec.   fredrick mwakalebela akiwa na rais wa jamhuri ya muungano ya tanzania. na mwanahabari wetu fredy mgunda,iringa. wananchi na wananchama wa chama cha mapinduzi (ccm)wa manispaa ya iringa wameendelea na  sitofaham na ni mtu sahihi wa kugombea jimbo la iringa mjini kutokana na wagombea wengi kujitokeza katika harakati hizo.