Skip to main content

Posts

Showing posts from January 9, 2018

CCM MJINI IRINGA YA JIBU MASHAMBULIZI YA MCH. PETER MSIGWA

IRINGA: Chama cha mapinduzi (CCM) wilaya ya Iringa mjini chapinga vikali shutuma zinazotolewa na chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kwamba kinafanya biashara ya kununua madiwani wake. Akizungumza na Tumbusi blog jana katika mahojiano maalum katibu mwenezi wa CCM Wilaya ya Iringa mjini Edwin Bashiri alisema kuwa chama hicho hakifanyi mnada wa kununua au kuuza  madiwani kutoka chama kikuu cha upinzani Chadema isipokuwa madiwani wanahamia CCM baada ya kuchoshwa na uongozi ndani ya chama chao. Alisema kuwa madiwani wanaohamia CCM kutoka Chadema wanafanya hivyo kwa hiari yao wenyewe baada ya kuona kwenye chama chao kutokana na migogoro ya kiuongozi inayoendelea ndani ya chama hicho. Bashiri alisema kuwa chama cha mapinduzi hakijawahi kufanya biashara ya kununua madiwani kwa sababu hakuna mnada wakununua au kuuza madiwani. Naye katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Iringa Ramadhani Baraza alisema kuwa wananchi wanatakiwa kupuuza maneno ya uongo kutoka kwa wapinzan...

CCM IN IRINGA RETALIATE AGAINST REV. PETER MSIGWA ALLEGATIONS

IRINGA: The Chama cha Mapinduzi (CCM) of Iringa Urban Constituency has retaliated to the allegations directed them by Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) that is trading in buying its councilors. Speaking to the Guardian yesterday during an interview, CCM Iringa Urban spokesman Edwin Bashiri said the party did not make a purchase of councilors from Chadema's opposition party but instead they moved to the CCM running away from ongoing party squabbles. He said that CCM councilors from Chadema are doing so willingly after seeing at the party due to the ongoing crisis in the party. Bashiri said so far they were eight ward councilors decamped to CCM from Chadema in the iringa urban constituency (five elected councilors and three special seats) making their decisions within four months. In the 2015 General Elections, Chadema scooped 14 out of 18 wards and carried Iringa urban constituency into the second round through its candidate, Pastor Peter Msigwa. ...