Skip to main content

Posts

Showing posts from September 25, 2017

MSIGWA AACHIWA KWA DHAMANA BAADA YA KUHOJIWA MASAA SITA NA POLISI

Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake leo (Jumatatu) akizungumzia suala la kushushwa jukwaani kwenye mkutano wa hadhara katika Kata ya Mlandege mkoani Iringa kukamatwa na polisi jumapili.  IRINGA: Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) pichani amesema kutendo cha polisi kushushwa jukwaani kwenye mkutano wa hadhara katika kata ya mlandege mjini Iringa jana kimemudhalilisha kama kiongozi wa kuchaguliwa na wananchi. Mchungaji Msigwa ambaye yupo nje kwa dhamana alisema hayo (jumatatu) katika mkutano na waandishi wa habari ofisin kwake nakuongeza polisi wamevunja sheria ya bunge yaani, sheria ya Parliamentary Immunity Powers and Privileges Act of 1988 kwa kuvuruga mkuatano wake. Alisema kuwa sheria hiyo inampa mamlaka ya kutimiza wajibu wake kama mbunge wakati akiongea na wananchi. Mbunge huyo alikamatwa na polisi Jumapili jioni baada ya kushushwa jukwaani kwenye mkutano wa ha...

DC MTATURU ASIFU UTENDAJI WA MBUNGE ELIBARIKI KINGU

Mbunge wa Jimbo La Singida Magharibi Mhe Elibariki Kingu akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Ikungi ulioketi kuchagua viongozi wapya watakaoiongoza jumuiya hiyo. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu (Mwenye shati la Njano), Mbunge wa Jimbo la Singida Mgharibi Mhe Elibariki Kingu (Wa Kwanza kushoto Pichani) na viongozi wengine wakifatilia Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana Wilaya ya Ikungi katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Ikungi. Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu ambaye pia ni mjumbe wa kamati ya Siasa Wilaya akizungumza na wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Ikungi ulioketi kuchagua uongozi wapya watakaoiongoza jumuiya hiyo. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Ikungi wakimsikiliza mgeni rasmi katika ufunguzi wa mkutano huo Mkuu wa Wilaya ya Ikungi Mhe Miraji Jumanne Mtaturu kabla...

PM MAJALIWA TO GRACE 'KARIBU KUSINI’ TOURISM EXHIBITION IN IRINGA

Iringa Regional Commissioner Amina Masenza is speaking to journalists about the famous tourism exhibit known as Karibu-Tanzania Southern Circuit which will be held at Kichangani grounds, Iringa Town, in Iringa Iringa from 27.09.2017 to 02.10.2017 yesterday. (Photo by Friday Simbaya) By Friday Simbaya, Iringa Prime Minister Kassim Majaliwa is expected to be guest of honour during ‘Karibu Kusini- Tanzania Southern Circuit’ tourism exhibition which will be scheduled to be held at the Kichangani grounds in Iringa municipality, Iringa Region which will be opened on 29.09.2017. Speaking to journalists today (Monday) Iringa Regional Commissioner Amina Masenza said the tourism exhibition week will begin on 27 September to 02 October 2017. She said that the southern regions which comprise of Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe and Ruvuma in collaboration with the ministry of natural resources and tourism, the small-scale industries organization (SIDO) and various st...

MAJALIWA MGENI RASMI MAONESHO YA UTALII YA KARIBU KUSINI

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maonesho ya utalii yajukalikanayo kama Karibu Kusini-Tanzania Southern Circuit yanataraijiwa kufanyika kwenye viwanja vya Kichangani, Iringa mjini, mkoani Iringa, kuanzia tarehe 27.09.2017 hadi 02.10.2017 jana. (Picha na Friday Simbaya) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maonesho ya utalii yajukalikanayo kama Karibu Kusini-Tanzania Southern Circuit yanataraijiwa kufanyika kwenye viwanja vya Kichangani, Iringa mjini, mkoani Iringa, yatakayofunguliwa tarehe 29.09.2017. Akizungumza na waandishi wa habari leo (Jumatatu) Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza alisema maonesho hayo yataanza tarehe 27 Septemba hadi 02 Oktoba, 2017. Alisema kuwa mikoa ya nyanda za juu kusini (iringa, njombe, mbeya, songwe na ruvuma) kwa kushirikiana na wizari ya maliasili na utalii, shirika la kuhudumia viwanda vidogo (SIDO) pamoja na wadau mbalimbali wanaandaa maonesho. Masenz...