Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Peramiho 'A' Wilayani Songea, Mkoani Ruvuma wakiwa wamebeba nyenzo mbalimbali kutoka nyumbani kwa ajili ya kwenda kufanyia usafi wa mazingira shuleni kwao, ikiwa ni kuanza kwa muhula wa kwanza wa masomo jana. Wanafunzi hao wanasoma darasa la tatu, tano na la sita katika shule hiyo.
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.