mwakilishi wa Kampuni iliyoshinda zabuni hiyo Home Africa Investment Corporation ya jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Ndugu, Omary Mkangama, Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Mheshimiwa Alex Kimbe, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa imesaini mkataba wa ujenzi wa soko la kisasa katika Kata ya Mlandege wenye thamani ya shilingi Bilioni 3,725,236,998/= chini mradi wa kusaidia uendelezaji wa mji( Urban Local Government Support Programme unaofadhiliwa na Benki ya Dunia. Mkataba huo umesainiwa na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Iringa Mheshimiwa Alex Kimbe, Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa, Omary Mkangama, mwakilishi wa Kampuni iliyoshinda zabuni hiyo Home Africa Investment Corporation ya jijini Dar es salaam chini ya usimamizi wa Mwanasheria wa Manispaa ya Iringa Ndugu, Charles P. Lawisso , wakuu wa Idara na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali. Halmashauri ya Manispaa ya Iringa ni miongoni mwa Mamlaka za Serikali za Mitaa( M...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.