TANZANIAN RESTAURANT - LUNCH BY CHEF ISSA IMETAJWA KWENYE ORODHA YA MIGAHAWA BORA KATIKA MIJI YA TROLLHÄTTAN NA VÄNERSBORG
Jarida la Wizara ya Maliasili Makumbusho na Utalii katika mji wa Trollhättan na Vänersborg limeijumuisha Tanzanian Restaurant - Lunch by chef Issa kwenye orodha ya migahawa bora katika miji hiyo miwili ni jambo la kujivunia hasa mafanikio haya ndani ya miezi miwili tangu kufunguliwa Jarida la makala ya biashara na uwekezaji la Fokus Väst la mji wa Trollhättan Sweden limethibitisha rasmi nakujivunia Tanzanian Restaurant - Lunch by chef Issa kua ni mgahawa halisi wa kiafrika mkubwa kuliko yote kwa bara la ulaya. Kusoma taarifa hiyo bofya link ya Fokus magazine http://en.calameo.com/read/0028316377167713a84d5 Habari ipo ukurasa wa mwisho Karibu na Like Facebook page ya Tanzanian restaurant - Lunch by Chef Issa https://m.facebook.com/profile.php?id=829878737101969 na kuwasiliana naye moja kwa moja kupitia ukarasa huo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mtaalamu wa kimataifa wa mambo ya mapishi aishiye Sweden Chef Is...