Skip to main content

Posts

Showing posts from October 3, 2017

COMMUNITY HEALTH FUND ADVOCACY MEETING ...

Executive Director-TACOSODE Theofrida Kapinga Iringa District Planning Officer Abel Mgimwa stressing the point during the meeting. TACOSODE Advocacy Strategist Abrahm Kimuli making a point during the meeting. The meeting in progress (ALL PHOTOS BY FRIDAY SIMBAYA) Tanzania Council for Social Development (TACOSODE) through the project of empowering citizens to engage in government oversight (CEGO) in health services provision is conducting a one day Community Health Fund (CHF) advocacy meeting held at Kihesa-Kilolo area in Iringa today. The meeting aimed at sharing experience on issues raised by TACOSODE during CEGO in health project implementation in Iringa and Kongwa district councils. Through the USAID funding the meeting was looking at CHF compensation to the exempted special groups, management and administration to the "CHF Act of 2001" and proposed the way forward. The meeting also advocated to the Ministry ...

WAZIRI PROF.JUMANNE MAGHEMBE AFURAHIA BIDHAA ZA IVORI

Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akiwa ameshika bidhaa za kampuni ya Ivori Iringa ambazo ni chocolate na pipi za maziwa alipotembelea banda la kampuni hiyo katika maonyesho ya utalii wa kanda ya nyanda za juu kusini yalifanyikia katika mkoa wa Iringa viwanja vya kanisa la kikatoliki la parokia ya kihesa maarufu kama uwanja wa kichangani.  Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe akiwa sambamba na mkuu wa mkoa wa iringa bi Amina Masenza walipotembelea banda la kampuni ya Ivori Iringa katika maonyesho ya utalii wa kanda ya nyanda za juu kusini yalifanyikia katika mkoa wa Iringa viwanja vya kanisa la kikatoliki la parokia ya kihesa maarufu kama uwanja wa kichangani. Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiomuonyesha waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe baadhi ya bidhaa za kampuni ya Ivori Iringa katika maonyesho ya utalii wa kanda ya nyanda za juu kusini yalifanyikia katika mkoa wa Iringa viwanja vya kanisa l...

SPANEST BAND YAENDELEA KUHAMASISHA UTALII...

Mratibu wa mradi wa SPANEST na mwenyekiti wa SPANEST Band Godwell Ole Meing’ataki akiwa katika maonyesho ya utalii wa kanda ya nyanda za juu kusini yalifanyikia katika mkoa wa Iringa viwanja vya kanisa la kikatoliki la parokia ya kihesa maarufu kama uwanja wa kichangani. SPANEST Band wakitumbuiza wakati wa maonyesho ya utalii wa kanda ya nyanda za juu kusini yalifanyikia katika mkoa wa Iringa viwanja vya kanisa la kikatoliki la parokia ya kihesa maarufu kama uwanja wa kichangani. Na Fredy Mgunda,Iringa. SPANEST Band ya mkoani Iringa yaendelea kutoa elimu ya utalii na kupiga vita ujangili kwa watanzania kupitia nyimbo mbalimbali ambazo zimekuwa zikihamasisha wananchi kuujua utalii,kutunza vivutio vyote vya kitalii na kuacha kuuwa wanyama wanaoendelea kuliingizia taifa pato kupitia utalii. Akizungumza na blog hii mratibu wa mradi wa SPANEST na mwenyekiti wa SPANEST Band Godwell Ole Meing’ataki alisema kuwa wameamua kuanzisha Band hi...