Skip to main content

Posts

Showing posts from February 5, 2017

KAIJAGE: TANZANIA YA VIWANDA HAITAWEZEKANA KAMA MASHAURI YANACHUKUA MREFU KUMALIZIKA

Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Rwezaula Kaijage akisoma hotuba iliyoandaliwa na Mawakili wa kujitegemea Kanda ya Mahakama Kuu ya Iringa katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini yaliofanyika kwenye viwanja vya makahama kuu ya Iringa juzi. (Picha na Friday Simbaya) Na Friday Simbaya, Iringa Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa, Mheshimiwa Jaji Shanghali amesema Kanda ya Mahakama Kuu Iringa ambayo inajumuisha mkoa wa Njombe kwa sasa wana mashauri 1,777.  Alisema kuwa Kati ya mashauri hayo, wanayo mashauri 211 tu yenye umri zaidi ya miaka miwili (2) ambayo kati yake ni mashauri 123 ya Jinai (Mauaji) na mashauri 87 ya Madai.  Jaji Shanghali alisema hayo jana wakati wa sherehe za sheria nchini zilizofanyika katika viwanja vya Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa. Alisema kuwa katika mashauri mengine yote 1,566 yana umri chini ya miaka miwili (2). “Takwimu zinaonyesha kuwa ni asilimia nane (8%) t...

TLS: INDUSTRIALIZATION DRIVE WILL NOT BE ATTAINED IF THE COURT PROCEEDINGS WILL TAKE LONG TIME TO FINISH

Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa, Jaji Mary Shanghali akiteta neno na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka na Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini yaliofanyika kwenye viwanja vya Makahama Kuu ya Iringa juzi. (Picha na Friday Simbaya) Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Rwezaula Kaijage akisoma hotuba iliyoandaliwa na Mawakili wa kujitegemea Kanda ya Mahakama Kuu ya Iringa katika maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini yaliofanyika kwenye viwanja vya makahama kuu ya Iringa juzi. (Picha na Friday Simbaya) IRINGA: THE Chairman of Tanzania Law Society (TLS) Iringa Chapter, Rwezaula Kaijage says Tanzania will not accelerate in industrialization efforts when court proceedings take months and even years to finish.  Kaijage made the appeal on Thursday during a law day ceremony held at Iringa zone High Court grounds in Iringa Region.  He said that ...