Skip to main content

Posts

Showing posts from November 27, 2014

UJENZI WA BARABARA YA IRINGA-DODOMA UNAENDELEA

Mwanamke akiendesha mtambo wa kumwaga lami maeneo ya kihesa sokoni manispaa ya iringa. ujenzi wa barabara unafanywa na kampuni ya kichina ya SIETCO.

MVUA ZIMEANZA KUNYESHA MKOANI IRINGA

RUCO WAMTUNUKIA SHAHADA YA HESHIMA YA UZAMIVU RAIS MTAAFU WA AWAMU YA TATU, DK M MKAPA

Mkapa akimsalimia Askofu wa jimbo la Njombe, Alfred Maluma kwa heshima ya juu zaidi.                            Hapa ni baada ya kuzindua jengo la Benjamin Mkapa, la chuo hicho. NA FRANK KIBIKI RAIS mstaafu, Benjamin William Mkapa amepewa shahada ya heshima ya uzamivu katika sheria ya chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT).