Skip to main content

Posts

Showing posts from May 21, 2017

MAGAZETI LEO JUMATATU MAY 22, 2017

Six Civil Servants Of Iringa Municipality Dismissed For Absenteeism

IRINGA: The Council of councilors in the Municipal Council of Iringa, Iringa Region has dismissed six civil servants from work and restoring back one (Lucy Mtafwa) to work for various charges, including absenteeism. Iringa Municipality Mayor Alex Kimbe, who is also the chairman of the council of councillors mentioned the staff affected by the penalties for absenteeism that is Glory Ngowi, Anzawe Mvena, Francis Mtenge, Paul Sanga, Mkombozi Gendagenda and Tumaini Sanga. Kimbe told a session of the House of Councilors of Iringa Municipal Council yesterday (Saturday) that the staff six (6) has been dismissed due to absence from their work stations without any notice. "Staff were absent from work for more than two years and have been dismissed due to lack of work for more than two years without the permission of his employer contrary to the Code of Civil service of the year 2003, and from today on 20 May, 2017 the above staff are no longer workers of Iringa Munici...

Watumishi Sita Manispaa Ya Iringa Wafukuzwa Kazi Kwa Utoro

Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Alex Kimbe akifungua kikao cha baraza la madiwani cha robo ya tatu ya mwaka 2016/2017 wa halmashauri hiyo leo unaofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Iringa jana. (Picha na Friday Simbaya) Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa Alex Kimbe akimkabidhi mmoja ya watumishi wa halmashauri ya Manispaa ya Iringa, Musa Mwaihojo (kulia) cheti cha pongezi ya ukusanyaji wa mapato ya ndani ya halmashauri hiyo, ikiwa ni pamoja na ushuru wa mabango na leseni wakati wa kikao cha baraza la madiwani cha robo ya tatu ya mwaka 2016/2017 wa halmashauri hiyo leo unaofanyika katika Ukumbi wa Manispaa ya Iringa jana. (Picha na Friday Simbaya) BARAZA la Madiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa limewafukuza kazi watumishi wake sita na kumrudisha kazini mmoja kwa tuhuma mbalimbali, ikiwemo utoro kazini. Meya wa Manispaa ya Iringa Alex Kimbe, ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la madiwani aliwataja watumishi hao wal...