Skip to main content

Posts

Showing posts from November 20, 2012

KAMBI NDOGO YA MACHO

Daktari wa Macho katika Hospitali ya Peramiho, Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Dr. Wade Kabuka akimchunguza macho mwanafunzi mmoja wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Peramiho kwa kutumia mashina ya macho ya Slit Lamp (Bimicroscope) wakati wa kambi ndogo ya huduma ya kupima macho. (Picha na Friday Simbaya)