Skip to main content

Posts

Showing posts from October 24, 2010

MAHAFALI YA 13 YA CHUO KISHIRIKI CHA IRINGA-TUMAINI

  Mkuu wa Chuo Kikuu cha Tumaini Askofu  Dk. Alex Malasusa (kushoto) akisimama pamoja na wageni waalikwa wengine kwa ajili ya kuimba wimbo wa Taifa (National Anthem) katika Mahafali 13- 2010 ya Chuo Kuu Kishiriki cha Iringa, uliyokuwa unaogozwa na Kikundi cha Maturumbeta na Sanaa cha KJ 841 cha Mafinga JKT, Iringa. Vile vile kusho ni Askofu Dk. Odenburge Mdegella Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo Kishiriki cha Iringa akuwakaribisha wageni wote na kuongeza sala na wimbo wa Taifa. Baadhi ya wahitimu 852 katika Mahafali ya Chuo hicho wa kishiriki sala na wimbo wa Taifa. THE Vice Chancellor for Tuimaini University, Prof. John Shao has called upon graduates to provide services to the community diligently when they go back to home despite the challenges that are there in society hence poverty reduction and quality life improvement. The vice chancellor was speaking on Saturday during the 13th graduation ceremony 2010 of Tumaini University-Iringa University College ...