Kocha Mkuu wa timu ya Panama Queens FC, Miraji Fundi akizungumza na waandishi wa habari baada ya mechi yao dhidi ya Mlandizi Queens FC ya Pwani ambapo timu hiyo ilifungwa bao 5-2 katika Uwanja wa nyumbani wa Samora mjini Iringa Jumapili. (Picha na Friday Simbaya) Meneja wa timu ya Mlandizi Queens FC Yassin Ramadhani Na Friday Simbaya, Iringa Timu ya mpira ya wanawake mkoani Iringa Panama FC inakabiliwa na changamoto lukuki ikiwemo la kukosa vifaa mbalimbali michezo kama vile mipra, imeelezwa. Akizungumza na Nipashe jana Kocha Mkuu wa timu ya Panama Queens FC, Miraji Fundi baada ya mechi yao dhidi ya Mlandizi Queens FC ya Pwani alisema kuwa timu yake inakabiliwa changamoto mbalmabli ilikiwemo la kukosekana kwa vifaa mbalimabi vya michezo pamoja na kutoungwa mkono na wadau mpira wa wanawake mkoani hapa. Alisema kuwa kufanya vibaya kwa timu hiyo ligi ya soka ya wanawake Tanzania bara kunatokana na kutoungwa mkono na wadau pamoja na ...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.