Skip to main content

Posts

Showing posts from October 16, 2015

AMKA NA SIMBAYA BLOG NA MAGAZETI LEO JUMAMOSI

Williamu lukuvi amembeza mpinzani wake katika jimbo la ismani

MGOMBEA ubunge wa jimbo la Ismani kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) William Lukuvi Na fredy mgunda, Ismani   MGOMBEA ubunge wa jimbo la Ismani kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) William Lukuvi amembeza mgombea mwenzake anayegombea ubunge kwenye jimbo hilo kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema Patrick Olle Sosopi na kusema kuwa Sosopi hata afanye hawezi kuvaa viatu vyake kwa kuwa mbunge wa jimbo hilo. Kauli ya Lukuvi aliitoa juzi wakati akiwahutubia wananchi wa vijiji vya Igingilanyi,Kising’a,Kinywang’anga,Mkungugu,Matembo na Ilambilole vilivyopo tarafa ya Isimani katika Jimo la Ismani alisema kuwa Sosopi hawezi kuvaa viatu vyake kwa kuwa mbunge wa jimbo hilo kwa maana hana staha ya kuweza kuwashawishi wananchi kuwaletea maendeleo na badala yake anawabeza wagombea wa chama cha mapinduzi CCM pamoja na mgombea ubunge wa jimbo hilo kwa kusema kuwa kwa kipindi cha miaka 20 ya ubunge wa Lukuvi hakuna maendeleo yoyote yaliyofanywa na chama hicho. “M...

MKUU WA MKOA WA IRINGA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Masenza akiongea na wanahabari wa Mkoa wa Iringa leo katika Ukumbi wa Mkuu wa Mkoa kuzungumzia mwenendo mzima wa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu pamoja na kuzungumzia maandalizi wa Uchaguzi Mkuu na usalama.

David Cameron bows to EU pressure for written list of demands

  David Cameron in conversation with Angela Merkel and François Hollande at the EU summit in Brussels. Photograph: Alain Jocard/AFP/Getty Images Ian Traynor in Brussels David Cameron bowed to pressure from other EU governments on Thursday and pledged to put his shopping list of demands for his in/out EU referendum on paper within weeks after previously declining to do so. The prime minister is to write a letter to Donald Tusk, the president of the European council who chairs EU summits, detailing the changes he hopes to obtain in the EU, before putting the outcome to a referendum by the end of 2017 on whether the UK should remain in the EU. Cameron has previously refused to be pinned down on his demands, triggering a chorus of complaints over the past fortnight from EU capitals that the negotiations were going nowhere and that there would be no meaningful talks until Downing Street put something on paper. The letter is to be sent in November so that th...