Skip to main content

Posts

Showing posts from November 27, 2016

JPM AWAPOKEA MARAIS WENZAKE KUTOKA ZAMBIA NA CHAD

Rais John Magufuli, akimlaki mgeni wake, Rais wa Zambia, Edgar Lungu, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, Novemba 27, 2016.(PICHA NA IKULU) Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli amlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Chagwa Lungu wakisimama kwa ajili ya nyimbo za Taifa na mizinga 11 mara baada ya kiongozi huyo kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jioni ya leo Novemba 27, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Chad Mhe Idriss Deby Itno mara baada ya kiongozi h...

Naibu waziri mambo ya ndani awapa "siri" abiria wa ubungo

Kuelekea msimu wa Krismasi na Mwaka Mpya Naibu waziri wa Mambo ya Ndani, Mhandisi, Hamad Masauni amewataka abiria kuacha tabia ya woga na kuamua kuwafichua madereva wanavunja sheria za barabarani, akisisitiza kuwa kufanya hivyo kutasaidia kupunguza ajali zinazotokana na uzembe. Akizungumza katika kampeni maalum ya paza sauti iliyoratibiwa na Mabalozi wa Usalama Babarani RSA Tanzania katika Kituo cha mabasi ubungo jijini Dar es Salaam. Amesema dereva kutojua sheria za usalama barabarani isiwe kigezo cha kuvunja sheria zilizowekwa kutokana na waathirika wa ajali ni watanzania ambayo ndio nguvu kazi ya taifa. Amesema kumekuwa na tabia ya madereva kutaka kuendesha mwendo kasi katika vipindi hivyo, hivyo maabiria wanapaswa kufahamu kuwa huko ni kuvunja sheria na wanapaswa kuwafichua. Nae Kamanda wa Kikosi cha Usalama Barabarani , Naibu Kamishina wa Jeshi la Polisi (DCP), Mohamed Mpinga amesema kampeni iliyozinduliwa ni jitihada za kikosi cha usalama barabarani katika...

Edgar Lungu expected in Dar today

Zambia and Tanzania plan to sign several ambitious agreements that aim at strengthening bilateral diplomatic ties as well as trade and investment cooperation between the two countries during the visit by President Edgar Lungu. The envisaged agreements include the opening of a new route between Dar es Salaam and Lusaka by Air Tanzania. President Lungu is expected to arrive in Tanzania on Sunday for a two-day state visit on an invitation by President John Magufuli. President Lungu’s visit by the Zambia leader comes just a few days after the meeting of the recent session of a Joint Permanent Commission (JPC), the Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Ambassador Augustine Mahiga, told a media conference in Dar es Salaam yesterday. Tanzania’s High Commissioner to Zambia, Ms Grace Mwijuma, said the recent JPC meeting agreed that the two countries should extend ties in other trade and investment sectors, insisting that Zambia was a strategic neighb...

Padri Fred Njuguna: Elimu Ya Ufundi Stadi Inaweza Kutatua Tatizo La Ajira Nchini

Mmliki wa SIMBAYA BLOG Friday Simbaya (kulia) akimpongeza mmoja wa wahitimu Pelegrin Kilwa katika Mahafali ya 25 ya Chuo cha Wasalesiani wa Don Bosco mkoani Iringa hivi karibuni.  VIJANA wameshauriwa kujiajiri kupitia elimu ya ufundi stadi ili kusaidia serikali kupunguza changamoto ya ukosefu wa ajira nchini. Hayo yalisemwa na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Stadi cha Don Bosco (DYTC) cha mkoani Iringa, Padri Fred Njuguna wakati wa Mahafali ya 25 ya chuo hicho jana. Chuo hicho kipo chini ya shirika la Waslesiani wa Don Bosco, ambalo ni shirika la kimataifa la kidini linalofanya kazi katika nchi 125 duniani kote kwa sababu ya vijana. Padri Njuguna alitoa rai hiyo kwa vijana nchini wanaomaliza kidato cha nne na cha sita kwamba wanatakiwa kujiunga na vyuo hivyo vya elimu ya ufundi stadi baada ya kukosa kujiunga katika vyuo vya kawaida kutokana na sababu mbalimbali. Alisema wapo wanafunzi wanaomaliza elimu hiyo ya sekondari ambao wanabwe...

…University Graduates Should Think Outside The Box And Form Partnership

The Public Relations Officer (PRO) for University of Iringa, Crispin Nyomoye talking to journalists after awarded his Masters Degree of Arts in Journalism and Media Management during the 19 th in Graduation Ceremony of University of Iringa (UOI) recently. (Photo by Friday Simbaya ) RECENTLY University of Iringa (UOI) (formerly Tumaini University College) has conducted the 19th Graduation Ceremony which saw a lot of graduands awarded with certificates, diplomas and degrees. The Guardian on Sunday managed to talk to one of the graduands he has this to say about his fellow students who have graduated this year in various colleges and universities across the country. Crispin Nyomoye is Public Relations Officer (PRO) at University of Iringa has this to advise his fellow students. He has challenged his fellow university graduates to think outside the box and form partnership with other colleagues and universities graduates in order to create jobs for themselves and others. Nyomoye wa...