Skip to main content

Posts

Showing posts from May 13, 2017

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI

Good Morning mtu wa nguvu, leo ni May 14 2017. Magazeti kurasa za mwanzo na mwisho kwa hisani ya  Queen Ester Tower Hotel

WCS BUILDS OFFICE FOR NYAKADETE WAGA COMMUNITY WILDLIFE MANAGEMENT AREA

By Friday Simbaya, Mbarali THE Chairman of the Waga Community Wildlife Management Area (CWMA), Amon Kisinga is asking the government to help solving the problem of the boundary dispute between the CWMA and Ulata Village which is in Iringa District, Iringa Region. He said the conflict hinders the activities of wildlife protection provided that it is an important area for conservation. The species commonly found in Waga CWMA include elephants, greater Kudu, giraffe, buffaloes, bush pig (warthog) and many others. Kisinga made the appeal during the inauguration of the office for Waga Community Wildlife Management Area held at Nyakadete Villlage in Mbarali District, Mbeya Region yesterday (Thursday). He said Waga CWMA is rich in wildlife as a buffer zone to the adjacent of Ruaha National Park (RUNAPA) with at least ten (10) village game scouts (VGSs) who patrol the CWMA. Waga CWMA covers an area of 315 square kilometers, representing land that has put aside ...

JENGO LA OFISI YA JUMUIYA YA HIFADHI YA WANYAMAPORI WAG YA ZINDULIWA

Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori, Wizara ya Maliasili na Utalii Profesa Alexander Songorwa (kulia) akikata utepe kwa kusaidiana na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyamapori Waga, Amon Kisinga wakati wa uzinduzi wa jengo la ofisi ya jumuiya hiyo uliofanyika katika Kijiji cha Nyakadete wilayani Mbarali, mkoani Mbeya jana. (Picha na Friday Simbaya) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Hifadhi ya Wanyapori Waga, Amon Kisinga anaiomba serikali kusaidia tatizo la mgogoro wa mpaka uliopo kati ya Jumuiya hiyo na Kijiji cha Ulata ambao unakwamisha shughuli za ulinzi wa wanyamapori kwa kuzingatia kuwa ni eneo muhimu kwa uhifadhi. Alisema kuwa Waga ni asasi inayovutia iliyojaliwa vivutio vingi vya utalii na hii ilithibishwa zaidi na utafiti wa mambo ya wanyamapori uliofanywa na shirika la jamii la kuhifadhi wanyamapori (WCS) mnamo mwezi Mei mwaka 2015. Kisinga alishukuru shirika la hifadhi la WCS kwa kuwajengea ofisi ambayo itakayosaidia kuendelea kupambana na vitendo vya ujan...

MAGAZETI LEO JUMAMOSI

Good Morning mtu wa nguvu, leo ni May 13 2017.   Magazeti kurasa za mwanzo na mwisho kwa hisani ya Queen Ester Tower Hotel, Iringa Mjini.