Skip to main content

Posts

Showing posts from January 5, 2017

MADHARA YA KUTAMANI WASICHANA USIYO WAJUA

Katika Karne ya sasa vijana wengi wamekuwa na tabia ya kutafuta uhodari wa nani zaidi kwenye tasnia ya mapenzi, hivyo wakati kijana anapo jikita kwenye mapenzi kama unavyo jua mapenzi yalivyo na nguvu, anashindwa kuvumilia na kujiwekea misimamo yaani kutulia na msichana ambaye tayari kamfanyia uchunguza wenye kina. Tamaa! ni mbaya, kupenda sio vibaya ila unapaswa kufanya uchunguzi kabla ya kupenda na sio kutamani! Ili ujue ulipo penda ni sahihi au laa!. Unaweza kupenda ulipo tamaniwa shida ndipo huanza, sio hivyo tu unaweza ukapenda mzuka /jini/shetani nk. Mwishowake huwa ni majuto. Kumbuka umakini na msimamo katika mapenzi vinamsaada mkubwa sana katika karne hii (usipende usicho kijua) Ukitazama hiki kipande cha video kilicho andaliwa 2017 na Vicent Petro a.k.a Mr. Kiraka, Ziada Mgwassa a.k.a “Zaydar” & Moses, utajifunza kuwa sio kila kinacho ng’aa ni dhahabu!. Tunaomba support yako kwenye video hii ili iwafikie walengwa wetu! Asante. 

Living near heavy traffic increases dementia risk, say scientists

Study tracking 6.6 million people estimates effect on one in 10 cases of Alzheimer’s while those living by busy roads are 12% are more likely to be diagnosed with dementia Living near busy traffic may increase the likelihood of dementia, according to a new study Photograph: Dominic Lipinski/PA Hannah Devlin Science correspondent  People living near a busy road have an increased risk of dementia, according to research that adds to concerns about the impact of air pollution on human health. Roughly one in 10 cases of Alzheimer’s in urban areas could be associated with living amid heavy traffic, the study estimated – although the research stopped short of showing that exposure to exhaust fumes causes neurodegeneration. Hong Chen, the scientist who led the work at Public Health Ontario, said: “Increasing population growth and urbanisation has placed many people close to heavy traffic, and with widespread exposure to traffic and growing rates of dementia, eve...