Skip to main content

Posts

Showing posts from May 5, 2016

TRA YAWAANDALIA ZAWADI NONO WAANDISHI WA HABARI WALIOSHINDA TUZO YA UANDISHI WA KODI NA MAKUSANYO YA MAPATO

Pichani ni Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi Bw. Richard Kayombo, kwa niaba ya Kamishna Mkuu wa TRA (Kushoto) akimkabidhi tuzo pamoja na cheti mshindi wa kwanza wa tuzo ya Uandishi wa habari za Kodi na Makusanyo ya Mapato ya Serikali kwa mwaka 2015 Bi. Valeria Mwalongo katika sherehe za kutunuku waandishi bora wa mwaka zilizofanyika katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam tarehe 29 Aprili 2016 Mshindi wa pili wa tuzo ya Uandishi wa habari za Kodi na Makusanyo ya Mapato ya Serikali mwaka 2015 Bw. Nuru Hassan (kulia) akipokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi Bw. Richard Kayombo (kushoto) aliyemuwakilisha Kamishna Mkuu wa TRA katika sherehe zilizofanyika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam tarehe 29 Aprili 2016 Kwa mara ya kwanza katika historia ya Tuzo za Umahiri katika Uandishi wa Habari, ambazo hutolewa na Baraza la Habari Tanzania (MCT), waandishi wawili wameshinda tuzo ya Uandishi wa Kodi na Makusanyo ya Ma...