Skip to main content

Posts

Showing posts from January 12, 2015

MKOA WA IRINGA WAADHIMISHA KUMBUKUMBU YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KWA KUPANDA MITI

Mkoa wa Iringa wameamua kuadhimisha Kumbukumbu ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa shughuli ya upandaji Miti. Mkuu wa Mkoa wa Iringa Amina Masenza alisema hayo leo kuwa watu wanatakiwa kutambua umuhimu wa miti katika maisha yao.