Skip to main content

Posts

Showing posts from September 23, 2017

WANAFUNZI NA WALIMU WA SHULE YA UFUNDI IFUNDA WAMPONGEZA JPM KWA UKARABATI

makamu mkuu wa shule Peter Mbata (kulia) na Amon Chota (mtaaluma). mwalimu mkuu wa shule ya sekondari ya ufundi Ifunda, Mpambwe Paul  mafundi wakiendelea na ukarabati wa shule kongwe ya ifunda ufundi kama walivyokutwa na mwandishi wetu jana (Picha na Friday Simbaya) Wanafunzi na walimu wa shule ya ufundi Ifunda (Ifunda Technical Secondary School) mkoani iringa wameipongeza serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kufufua na kuboresha miundombinu ya shule yao. Walisema kuwa baada ya mpango wa serikili kuamua kuanza ukarabati wa shule kongwe nchini ikiwemo Ifunda utachangia ufaulu bora kwa wanafunzi pamoja na kuweka mazingira mazuri ya kufundishia na kujisomea. SIMBAYABLOG jana ilitembea shule hiyo kongwe ya Ifunda na kujionea ukarabati unaondelea kwa kusimamiwa na Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Mbeya (MUST).  Derika Makoi ni mwanafunzi wa kidato cha tatu alibainisha kuwa ukarabati huo u...