Skip to main content

Posts

Showing posts from October 30, 2010

KAMPENI YA MWISHO YA DR. SLAA JIJINI MBEYA

Aliyekuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Goodluck Haule, akimakabidhi moja ya mavazi ya chama hicho mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), baada ya kukihama na kujiunga na Chadema. Mgombea Urasi kupitia tiketi ya CHADEMA Dr. Wilibrod Slaa akisindikiswa na umati mkubwa wa wafuasi na mashabiki wa chama hicho jijini Mbeya bada ya kuitimisha kampeni zake za uchaguzi leo jijini hapa.