Na Friday Simbaya MSEMAJI Mkuu wa shirika la TECONAREMAP Bw, Ochieng Anudo amesema kuwa Idara ya uchunguzi na upelelezi ya shirika hilo imefanikiwa kugundwa udanganyifu ya cheti feki cha ndoa ambacho Bi, Mwanaidi Musa alitumia kudai kuwa alifunga ndoa na Bw, Hussein Dodo. Mali anazodaiwa kulipwa Bi, Mwanaidi kwa kutmia cheti feki hicho cha ndoa akidai ametelekezwa ni mashamba hekari 4, ng'ombe 30, mbuzi saba, kuku 20, bata 30 meza moja, mapipa ya ujazo manne pamoja na vyombo vingine vya ndani na kumwacha Bw, Hussein Dodo akiwa masikini. Akizungumza na waandishi wa habari jana ofisini kwake mjini Iringa Bw, Ochieng alisema ofisi yake ilipokea malalamiko ya kuhujumiwa kwa haki za mazingira mtu kutoka kwa Bw, Hussein Dodo ambaye ni mkazi wa wilaya ya Babati akidai kuwa Bi, Mwanaidi Musa hakuwa mke wake na kuwa cheti cha ndoa alichotumia hakikuwa halali. Alisema kuwa baada ya taarifa hizo idara yake ya uchunguzi na upelelezi wa shirika hili ilifanya uchunguzi wa ...
Pamlomo-Sauti Ya Jamii (SYJ) is essentially a digital news platform that shares different types of news updates — social, political, economic, sports, entertainment, and community stories. From the context you’ve given, it is based in Iringa, Tanzania, and functions mainly as an online outlet (likely through social media such as Facebook, YouTube, or other channels) where audiences can get real-time updates.