Skip to main content

Posts

Showing posts from May 15, 2017

Trump Drastically Expands ‘Global Gag Rule’ On Abortion

President Donald Trump ’s administration announced the details Mondayof the president’s unprecedented international anti-abortion policy , which drastically expands the “global gag rule” that past Republican presidents have placed on U.S. health assistance funds.  The gag rule, also known as the Mexico City policy, blocks international family planning assistance through the U.S. Agency for International Development to any groups or programs that provide or even mention abortions to women, or speak out about abortion laws in their own countries. It was last implemented by President George W. Bush and then was repealed by President Barack Obama . Trump’s plan, called Protecting Life in Global Health Assistance, goes much further than that . The policy applies the anti-abortion rule to $8.8 billion in global health funding furnished by the State Department, USAID and the Department of Defense, instead of only $600 million in family planning funding. This me...

MAGAZETI LEO JUMANNE

SAKATA LA MSANII DIAMOND KUDAIWA MILIONI 400 YA KODI,TRA YAIBUKA NA KUSEMA HAYA

Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Richard Kayombo, ameendelea kukanusha kwamba, Mamlaka hiyo haijamkadiria msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnamuz kulipa kodi ya shilingi Milioni 400. Hayo ameyasema jana Mei 13, 2017 wakati akifafanua hoja mbalimbali kwa waandishi wa habari wanaoshiriki semina ya siku moja iliyoandaliwa na TRA ili kutoa elimu ya ulipaji kodi kwa waaandishi na kufanyika kwenye ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), jijini Dar es Salaam. “Tuko kwenye hatua za awali za mazungumzo bado hatujakadiria kodi anayopaswa kulipa Diamond, na kwa bahati nzuri tumekaa naye na bado tuko kwenye mazungumzo na sio kweli kwamba tumemkadiria shilingi Milioni 400,” Alisema na kuongeza “Tunajaribu kujua vyanzo vyake vya mapato, lakini hata kama imetokea mtu umekadiriwa kulipa kodi kwa kiasi Fulani na hujaridhika unayo nafasi ya kukata rufaa kwa Kamishna Mkuu wa TRA, na ndapo hujaridhika na rufaa hiyo ...

BREAKING NEWS-HANS POPPE AJIUZULU RASMI SIMBA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Simba, Zacharia Hans Poppe ameachia ngazi. Habari za uhakika zimeeleza kuwa Hans Poppe ameandika barua ya kuachia ngazi kwa madai kuwa anaona mambo yanaendeshwa ndivyo sivyo. Chanzo chetu cha kuaminika kinaeleza kuwa "Hans Poppe ameachia ngazi kwa kuwa hakufurahishwa na mlolongo ulivyokuwa hadi Simba kuingia mkataba wa SportPesa,” kilieleza chanzo. "Hans Poppe ameandika barua kujiuzulu kwenye kamati ya utendaji, maana yake anaondoka moja kwa moja katika nafasi ya mwenyekiti wa kamati ya usajili. "Kilichomchukiza, anasema kuna kundi lililoongozwa na Rais Evans Aveva na makamu Geofrey Nyange Kaburu, lilifanya mambo kimya kimya na Hans Poppe amesema hata Mo Dewji aliyeisaidia Simba mishahara naye hakushirikishwa hata kiungwana tu, hivyo amepinga hilo.

KUNDI LA MTANDAO WA WHATSAPP LA "SARATANI INFO" LATOA MSAADA WA BIMA ZA AFYA KWA WATOTO 8

  Mabalozi wa Kundi la Mtandao wa Kijamii wa Whatsaap la Saratani Info wakiwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC tayari kutembelea kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC.  Mabalozi wa Kundi la Mtandao wa Kijamii wa Whatsaap la Saratani Info wakiwa wamebeba zawadi mbalimbali kwa ajili ya kutoa kwa wagonjwa wa Saratani katika Hosptali ya Rufaa ya KCMC.  Mkuu wa Kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Furaha Silventi akizungumza na mabalozi wa kundi la Saratani Info lilipotmbelea kitengo hicho.  Mkuu wa Kitengo cha Saratani katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC,Dkt Furaha Silventi akizungumza na mabalozi wa kundi la Saratani Info lilipotmbelea kitengo hicho,kulia kwake ni Kiongozi wa Mabalozi hao kanda ya Kaskazini,Veri Njau na kushot ni Mratibu katika kitengo hicho Everlyn Ndosi.  Kiongozi wa Kundi la Mabalozi wa Saratani la Saratani Info kanda ya Kaskazini,Veri Njau akizungumza n...