Skip to main content

Posts

Showing posts from December 5, 2016

SERIKALI YATAKIWA KUBAINISHA STENDI ZA DALADALA JIJINI MWANZA

Mwenyekiti wa Madereva Kanda ya ziwa Hassan Dede akihojiwa na waandishi wa habari Askari wa kikosi cha usalama barabarani wakiwa wamezisimamisha Daladala kwa kosa la kupakia abira eneo ambalo sio rasmi  Jinsi magari yanavyogeuza katika eneo la Buhongwa Eneo la stendi isiyokuwa rasmi ya Buhongwa ilivyo katika kadhia ya ubovu Mwenyekiti wa Madereva Kanda ya ziwa Hassan Dede akikagua eneo la barabara ya Buhongwa ambayo inatumiwa na madereva Daladala kama stendi  Gari likigeuza katikati ya barabara kutokana na kukosekana kwa eneo maalumu la stendi Wajasiriamali wakiwa katika eneo la biashara huku Daladala zikitumia eneo hilo pia kupakia na kushusha abiria Gari inageuza kituoni ambapo ni barabarani huku watu wakiendelea kuvuka barabara Dede akikagua barabara iliyoharibika Gari ikiwa imepaki katika eneo bovu la barabara ya Buhongwa ...

YESTZ INTENDS TO IMPLEMENT THE PROJECT ON THE IMPACT OF SGBV IN HIGHER LEARNING INSTITUTIONS

YES Tanzania Executive Director Kenneth Simbaya (left) and his Financial Fundraising Coordination Lusajo Luvanda (extreme right) in a meeting with the SBC Tanzania Ltd Mbeya Plant General Manager Sanjar Munsh (centre) over possible partnership in implementing a project dubbed ‘Zero Tolerance against Gender based violence and sexual harassment in tertiary learning institutions. (Photo by Friday Simbaya) By Friday Simbaya, MBEYA: Youth Education through Sports Tanzania (YES Tanzania) a youth led and youth focused NGO based in Mbeya region intends to start a project of raising awareness in the region (Mbeya) in higher learning institutions on the impact of sexual harassment and gender based violence (SGBV). According to the YES Tanzania Executive Director Kenneth Simbaya, YES Tanzania has approached SBC Tanzania Limited for possible partnership in implementing a project dubbed ‘Zero Tolerance against Gender based violence and sexual harassment in tertiary learning i...

CHADEMA YAWANOA VIONGOZI WAKE WA MABARAZA WILAYA YA NYAMAGANA

Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Ziwa, Meshack Micus (kulia), akizungumza juzi kwenye semina kwa viongozi wa Mabaraza ya Chadema Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza. Lengo lilikuwa ni kuimarisha mabaraza hayo kwa ajili ya utendaji kazi wake ikiwemo kuhakikisha wanachama wapya wanaendelea kujiunga na chama chadema ili kukifanya kuendelea kuwa chama cha upinzani chenye nguvu nchini. Chama hicho kililaani zoezi la kuwahamisha machinga kutoka katikati ya Jiji la Mwanza huku mazingira rafiki yakiwa bado hayajaandaliwa ambapo Micus alisema hatua hiyo inaweza kusababisha vijana na akina mama wengi kukosa mwelekeo wa kujitafutia kipato kwa njia sahihi ambapo walihimiza machinga hao kutengenezewa mazingira bora ya kufanyia biashara zao. Na BMG Habari Baadhi ya viongozi wa mabaraza ya Chadema wilayani Nyamagana wakimsikiliza Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Kanda ya Ziwa, Meshack Micus (kulia), wakati akizungumza kwenye...