Skip to main content

Posts

Showing posts from February 26, 2018

MAGAZETI YA LEO, FEBRUARI 27

WAETHIOPIA 83 WAPANDISHA KIZIMBANI

MAHAKAMA ya hakimu mkazi mkoa wa Iringa imewapandisha kizimbani watuhumiwa 83 raia wa nchini Ethiopia kwa kosa la kuingia nchini bila kibali. Wakisomewa mashataka yao mbele ya hakimu mkazi mfawidhi mkoa wa Iringa David Ngunyale wakili wa serikali Godfrey Ngwijo alisema kuwa Februari 23 katika tarafa ya Mazombe wilaya ya Kilolo mkoani hapa watuhumiwa hao walikamatwa na maofisa uhamiaji kwa kosa la kuingia nchini bila kibali. Ngwijo alisema kuwa kosa la pili linamkabidhi utingo wa gari hilo Hassan Ferooz (18) mkazi wa Tukuyu mkoani mbeya kwa kosa la kusafirisha watuhumiwa hao kuwapeleka nchini Afrika kusini lakini mtuhumiwa huyo alikana shitaka hilo. Kesi hiyo ilifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza ambapo mara baada ya kusomewa mashtaka hayo hakimu Ngunyale alisema kwa kosa la kuingia nchini bila kibali ni kwamba kesi hiyo itatajwa tena Machi mbili mwaka huu hadi watakapopata mtafsiri ambaye atatafsiri raia hao huku kosa la pili likiwa ni kwamba mtuhumiwa...

83 ETHIOPIAN NATIONALS IN COURT FOR BREACHING THE IMMIGRATION ACT...

IRINGA: EIGHTY-THREE Ethiopian nationals including one local Tanzanian, who were arrested on Saturday by the Immigration Department in Iringa Region in collaboration with the police force have appeared before the court facing charges of breaching the Immigration Act,.  The Immigration Department collaboration with the police once again has intercepted 83Ethiopian illegal immigrants for allegedly entering the country without legal documents.  The 83 illegal immigrants appeared in Iringa Region Magistrate Court before Resident Magistrate in charge David Ngunyale for allegedly entering into the country without legal documents.  According to the government lawyer Godfrey Ngwijo said on February 23 in the Mazombe Division in Kilolo district where the suspects were arrested by immigration officers for illegal entry into the country.  Ngjojo said that the second offense was handed over to the local Tanzanian Hassan Ferooz (18) a resident of Tukuyu, ...

RC MASENZA URGES FARMERS IN IRINGA TO USE FINANCIAL INSTITUTIONS

IRINGA: Iringa farmers are required to use financial institutions in the region by taking affordable loans to grow productive agriculture and to raise their economy, because banks are catalysts for Industrialization.  It has been said that one of the factors contributing to the failure of many farmers to cultivate professional agriculture is the lack of capital that leads to poor agricultural practice.  The statement was issued by the Iringa Regional Commissioner Amina Masenza on Friday last week when she was launching a new branch of the NMB Ruaha Bank along Iringa-Dodoma road in Iringa municipality, which is called to reduce customer congestion while urging people and farmers to continue using these institutions to promote their economy and the nation as a whole.  Masenza said the farmers should to take advantage for improving their economics by practicing modern farming while demanding financial institutions in the country to give soft loans ...