Skip to main content

Posts

Showing posts from July 10, 2010

NHIF IRINGA ZONE DONATES TO ORPHANAGE

By Correspondent Friday Simbaya, Kilolo THE National Health Insurance Fund (NHIF) in Iringa Zone on Wednesday has donated 15 mattresses, 20 bed sheets and five buckets of Family detergent (each 20 kgs) to Amani Orphanage center in Kilolo District, Iringa Region. Speaking at the handover ceremony, NHIF Iringa Zone Director Grace Lobulu said the donation is part of the health insurance week celebrations and also as part of the corporate social responsibility. She said is was good to support to the vulnerable groups like orphan vulnerable children and those living in hardship conditions because they need help from the social around them including corporate companies. “As part of the celebration of health insurance week in Iringa Zone, we have decided to visit Amani Center which house about 86 children both who are orphans and those living difficulties condition,” Lobulu said. The orphanage centre which has six houses and each house housed at least 15 c...

MAKHIRIKHIRI

Wakiwa Mjini Iringa hivi karibuni

SIMBAYA'S FAMILY

With happy similes on their faces

MY SONS

Chris Simbaya (left) and Ken Simbaya(right)

ASKARI POLISI AJIUA KWA KUJIPGA RISASI

Na Friday Simbaya, Iringa ASKARI polisi amefariki dunia baada ya kujipiga risasi mbili chini ya kidevu, kifo kinachosadikiwa kuwa kinahusiana na wivu wa kimapenzi baina yake na askari mwingine. Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa, Evarist Mangalla alisema askari huyo alijipiga na kufa papo hapo Julai 8, mwaka huu saa 3:00 usiku katika eneo la makazi ya mkuu wa mkoa wa Iringa eneo la Gangilonga, manispaa ya Iringa. Alimataja askari huyo kuwa ni G13 Mashauri (24) ambaye kabla ya kujiua alikuwa kwenye lindo eneo la benki ya CRDB ambako aliingia lindoni saa 12:00 jioni Julai 8, mwaka huu na kutoka saa 1:30 usiku kuelekea nyumbani kwa askari wa kike. Akielezea tukio hilo Mangalla alisema inadaiwa kuwa zamani Mashauri na Zahara walikuwa na uhusiano wa kimapenzi ambao hata hivyo waliachana kutokana na kutokuwepo na maelewano mazuri baina yao . Alisema baada...

COUNCILS URGED TO UTILIZE COMMUNITY BANK TO SUSTAIN

By Correspondent Friday Simbaya, Iringa THE Managing Director for Dar es Salaam Community Bank (DCB), Edmund Mkwawa has urged municipal and district councils to use community banks available in their areas so that they can give life to community banks. The community bank of Iringa will be jointly formed by Iringa Municipal Council and Iringa District Council residents, who under one District Commissioner, Captain (rtd) Aseri Msangi. The managing director made the statement on Thursday during the municipal stakeholders meeting on the establishment of Community Bank held in Iringa Region. Mkwawa said that if the community bank is started and it never used by directors of both the municipal and district, it will die a natural death since it will have small capital. He noted municipal and district councils have a lot people who happen to be workers and if all workers can use the community banks they will be in the position sustaining a long life. “Accor...

MFUKO WA BIMA YA AFYA WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

Na Friday Simbaya, Kilolo MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Kanda ya Iringa wametoa msaada wa magodoro 15, mashuka 20 na sabuni ya kufulia kwa Kituo cha Watoto ya Yatima cha Amani wilayani Kilolo Mkoa wa Iringa. Mkurugenzi wa Mfuko Kanda ya Iringa Bi. Grace Lobulu amesema jana kuwa mfuko uliamua kuitumia siku hii sambamba na Wiki ya Bima ya Afya kufanya shuguli za kijamii ikiwemo kutembelea wenye maitaji na kuwafariji. Amesema kuwa kwa kanda ya Iringa mwaka huu inasheherekea Wiki ya Bima ya Afya kwa kutembelea watoto yatima katika kituo Amani Center (wilayani Kilolo) kinachoendeshwa na Kanisa Katoliki Dayosisi ya Iringa ambacho kina watoto 86. Mwaka huu wiki ya bima ya afya na ujumbe usemao, “Mtaji wa Mtanzania ni Afya Bora, Jiunge na NHIF/CHF Leo” Akipokea msaada huo kwa niaba ya Kituo cha Amani kaimu Meneja Bw. Wilfred Mwakalebela, aliushukuru mfuko huo kwa kuwapatia msaada wa pekee watoto huo na kuongeza kuwa ni mara ya kwanza kwa kituo hicho k...

NDIZI

Mikungu ya ndizi ikisubiri kupelekwa sokoni