Skip to main content

Posts

Showing posts from December 23, 2016

THE GOVERNMENT ADVISED TO CREATE A NATIONAL PLATFORM FOR FOCAC ACTIVITIES

By correspondent Friday Simbaya, Iringa The government has been advised to create a national platform for Forum on China-Africa Cooperation (FOCAC) development which will act as a national strategic arm for available opportunities. The call was made yesterday by the Tanzania Grassroots Oriented Development (TAGRODE) Executive Director, Zubery Mwachulla when he was conducting a training to Civil Society Organizations (CSOs) about the opportunities and recommendations of FOCAC in the context of Tanzania held in Iringa Town. He said that it is important for the government to establish the forum that will monitor FOCAC deliberations on the implementation of the Johannesburg Summit and the 6th Ministerial Conference of the Forum on China-Africa Cooperation (FOCAC) held in Johannesburg from 3 to 5 December 2015.  Heads of State and Government, Heads of Delegation, the Chairperson of the African Union (AU) Commission and Ministers of Foreign Affairs ...

DC KASESELA AKIMEA VITENDO VYA KUTUPA WATOTO

Mkuu wa Wilaya ya Iringa Richard Kasesela amesikitishwa na vitendo vilivyokithiri vya wanawake kutupa watoto mara baada ya kujifungua ambapo amewashauri kutumia njia za kisheria kupata haki ya matunzo ya mtoto, kwa wanaume wanaowapa mimba. Mkuu huyo alisema hayo jana wakati akishiriki chakula pamoja na watoto yatima wanaolelewa na kituo cha daily bread life children’s home kilichopo neo la Mkinbizi Bima, Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, mkoani Iringa. Kutokana na hilo amewaagiza watendaji wa vijiji, mtaa na kata kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo katika maeneo yao kuwachukulia hatua wanawake wanaotupa watoto, kwa kuwa kufanya hivyo ni kosa la jinai. Kasesela ambaye alikuwa mgeni rasmi alitumia pia fursa ya kuwatakia wananchi wa Wilaya ya Iringa na Mkoa wa Iringa heri katika Noeli na Mwaka Mpya 2017. Alisema kuwa, Mkoa wa Iringa ni miongoni mwa mikoa iliyokithiri kwa vitendo vingi vya ukatili dhidi ya wanawake n...

DC CRIES AGAINST WOMEN THROWING BABIES AFTER DELIVERY

Mkurugenzi Mkuu wa ‘Daily Bread Life Tanzania’, Askofu Mpeli Mwaisumbe (kushoto) akisoma risala mbele ya mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela katika sherehe za krismasi na chakula na watoto zilizofanyika jana katika kituo cha kulelea wa watoto yatima cha daily bread life childrens' home kilichopo mjini Iringa. (Picha na Friday Simbaya) sehemu ya watoto yatima wakiwa katika shereh hiyo Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela (katika) akiteta jambo na mmoja wa wafadhil , Geoffrey Mungai (kulia baada ya kukagua kituo cha kulelea wa watoto yatima cha 'Daily Bread Life Children's' Home katika sherehe za Krismasi na chakula na watoto zilizofankuliayika jana katika kituo hicho kilichopo mjini Iringa. (Picha na Friday Simbaya) Iringa District Commissioner (DC), Richard Kasesela said he is disappointed by the disproportionate actions of women throwing babies immediately after delivery in which he advised ...

SHULE YA AZIMIO MANISPAA YA IRINGA YAANZA KUKARABATIWA MIUNDOMBINU YAKE

Na Friday Simbaya, Iringa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Ritta Kabati (CCM) kwa kushirikiana na wadau wengine wameanza ukarabati shule ya msingi ya Azimio iliyopo katika Kata ya Mshindo Manispaa ya Iringa kutokana na uchakavu wa majengo hayo. Akizungumza wakati wa ukaguzi wa miundombinu ya shule hiyo Mbunge Kabati alisema ni aibu kwa shule kongwe kama hiyo kuwa miundombinu mibovu kama hiii. Kabati aliongeza kuwa shule hiyo imeharika hovyo na inahitaji msaada wa haraka kuikarabati kwa kuwa wananfunzi wanasoma katika mazingira magumu na kudunisha elimu ya wanafunzi hao. “Hii shule imeanza sawa na siku niliyozaliwa mimi lakini ukiiangalia imechakaa na imechoka hivyo sina budi kuanza kuikarabati shule hii kwa kuwa ni aibu kwangu haiwezakani shule ikawa Manispaa ya Iringa halafu ikawa katika muundo huu,”alisema Kabati. Aidha Kabati alisema kuwa ukarabati umeanza siku ya ijumaa ya tarehe 23.12.2016 na atahakikisha anakarabati shule yo...

TUNDU LISSU AKAMATWA NA KUACHIWA NA POLISI KISA KUMWITA RAIS MAGUFULI "MTUKUFU"

Tundu Lissu, Mwanasheria Mkuu wa Chadema (katikati) akizungumza na vyombo vya habari muda mchache baada ya kutoka kuhojiwa na polisi TUNDU Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ameachiwa baada ya kukamatwa na kuhojiwa Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu cha Kanda Maalum ya Dar es Salaam, anaandika Faki Sosi. Mapema leo asubuhi Lissu alikamatwa na kupelekwa kituoni hapo ambapo ilielezwa kuwa alichukuliwa kwa lengo la kuhojiwa kuhusiana na mkutano aliofanya na waandishi wa habari kuhusu wa kupotea kwa Bernard Saanane. Ben Saanane alikuwa Msaidizi wa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Chadema Taifa – alipotea ghafla takribani mwezi mmoja sasa na hajulikani alipo huku Lissu akiitisha mkutano na wanahabari tarehe 14 Desemba, 2016 na kuitaka serikali ieleza kama inamshikilia kijana huo au la. Fredrick Kihweru mmoja kati ya wanasheria wa Chadema akitoa maelezo baada ya mahojiano ya polisi na Lissu kumalizika amesema, “aliit...

JESHI LA POLISI LAIMARISHA ULINZI KUELEKEA SIKUKU YA KRISMASI

Jeshi la polisi limesema limeimarisha ulinzi kuelekea sikukuu za Krismasi na mwaka mpya hili kudhibiti vitendo vya uharifu . Akizungunza leo, Msemaji wa Jeshi la Polisi, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Advera Bulimba amesema jeshi la polisi katika kipindi cha sikukuu kuna watu wanajipanga kufanya uhalifu hivyo jeshi la polisi litafanya doria za kutosha. Amesema kumbi zote zinazofanya starehe za kupiga mziki ziingize watu kutokana na ukumbi na watakaozidisha watachukuliwa hatua. Afande Advera amesema wataondesha vyombo vya moto wataobainika wametumia vilevi watachukuliwa kwani nia yao nikutaka kusababisha ajali. Aidha amesema wazazi wanatakiwa kufanya ulinzi kwa watoto wao kutokana na watoto kupotea katika siku za sikuu na kusababisha vituo vya polisi kuwepo kwa watoto hao. Hata hivyo amesema wananchi watoe ushirikiano kwa jeshi la polisi pale wanapohisi kuna watu wanaashiria kufanya uhalifu. Advera amesema kuwa wale ambao watatoa taarifa zikas...