Skip to main content

Posts

Showing posts from September 12, 2010

ABOOD BUS SERVICE

Mafundi na abiria wa bus la Abood akisaidiana kutengenaza ekizoti paipi ya bus baada kukatika katika eneo la Igemi katikati ya Mahenge na Mtandika Wilaya ya Killolo mkoani Iringa jana majira ya saa 3 asubuhi. Bus la Abood lilianza safari kutoka Iringa Mjini kwenda Dar saa 1 asubuhi lakini lilipofika eneo la Igemi 'exhust pipe' ilichomoka na mafundi wa basi wakatengeza kidogo ndipo tulipofika Hoteli ya Aljazeera walilichomelea na tukaenedelea safari hadi Ubungo saa 9:30 hivi. Foleni ya magari kama ilvyokutwa katika eneo la Igemi katika ya Mahenge na Mtandika wilayani Kilolo, Mkoa wa Iringa ya kisubiri kuruhusiwa na watengezaji wa barabara ya Tanzam.