Skip to main content

Posts

Showing posts from February 12, 2015

DC MUFINDI APANDISHWA KIZIMBANI

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) leo Februari 12, inampandisha kizimbani Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Evalista Kalulu kwa tuhuma za matumizi mabaya ya Sh Milioni 3, fedha za umma. Pamoja na mkuu huyo wa wilaya wapo watumishi wengine wanne wa halmashauri ya wilaya ya Mufindi akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi wake wa halmashauri, Limbakisye Shimwela.

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI AMKIMBIA MBUNGE CHIKU ABWAO

Mbunge wa viti maalum kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema CHIKU ABWAO akikagua jengo lilokumbwa na ajali ya moto Mbunge CHIKU ABWAO akiwa katika eneo la nje ya jengo liloungua  Mbunge wa viti maalumu  kupitia chama cha demokrasia na maendeleo chadema CHIKU ABWAO alisikitiswa na  uongozi wa shule ya sekondari ya idodi  kushindwa kumpokea kama mbunge na mama aliyeguswa na ajali ya moto katika shule  kwa kuwa alikuwa ameshatoa taarifa kabla hajaenda katika shule hiyo.