Skip to main content

Posts

Showing posts from January 30, 2015

PCT Mafinga kusambaza mbegu kwa wakulima wa Pareto

Mkurugenzi  PCT Mafinga Mr. Martine Oweka                                                       Shamba la Pareto.... Na Tumaini Msowoya Kibiki, Mufindi KIWANDA cha Pareto (PCT), cha Mafinga wilayani Mufindi kimetumia zaidi ya shilingi milioni 350, kwa ajili ya kuwasaidia wakulima mbegu na miche ya zao hilo, ili kukuza na kuinua zao hilo.