Skip to main content

Posts

Showing posts from February 15, 2016

NHS vows to transform mental health services with extra £1bn a year

Taskforce calls for provision of 24/7 support for people in crisis and 10% reduction in suicide rates Each year one in four UK residents experience a mental health problem. Photograph: Jolie Clifford/Glasshouse Images/Corbis Ben Quinn , Denis Campbell and Damien Gayle People facing mental health crises will be able to get community care 24 hours a day, seven days a week as part of the biggest transformation of NHS mental heath services in England for a generation, to be unveiled on Monday. A wide-ranging set of recommendations by an independent taskforce that surveyed a long-neglected and “chronically underfunded” area of healthcare is backed by a pledge from the NHS in England to help more than a million extra people facing mental health problems and to invest in excess of £1bn annually by 2020-21. The announcement of the ambitious transformation came as Jeremy Hunt said the government would have to give the NHS “significant” amounts of extra money after ...

NAIBU WAZIRI WA AFYA DK. KIGWANGALLA AUPA SIKU 90 UONGOZI WA HOSPITALI YA MKOA WA NJOMBE-KIBENA KUBORESHA HUDUMA

Naibu Waziri Dk. Kigwangalla akikagua mahabara ya hospitali hiyo ambayo alikutana na matatizo mbalimbali ikiwemo mashine na vifaa kutotumika ipasavyo na kuagiza uongozi wa kufanya maboresho ndani ya miezi mitatu huku akiahidi kuifungia endapo itashindwa kutekeleza maagizo hayo. Naibu Waziri wa Afya, Dk Kigwangalla akiangalia moja ya maeneo ya wodi hizo ambapo alikuta hali ya uchafu pamoja na kuwa na mpangilio mbovu wa namna ya utoaji wa huduma. Dk. Kigwangalla akitoa maelezo kwa Mganga mkuu wa hospitali ya Mkoa wa Njombe-Kibena, Dk. Samwel Mgema wakati wa maagizo hayo ndani ya siku 90 na endapo hawatafanya utekelezaji ataichukuia hatua ya kuifungia. Naibu Waziri wa Afya, Dk Kigwangalla akielekea kwenye baadhi ya majengo ya hospitali hiyo wakati wa ukaguzi huo. Naibu Waziri wa Afya, Dk Kigwangalla akikagua eneo la kutolea huduma ikiwemo wagonjwa wanaoingia kumuonna Daktari. (Picha zote na Andrew Chale,modewjiblog-Njombe). Uongozi wa Hospitali ya Halmash...

HOYCE TEMU: MISS TANZANIA ALIYEJITOA KUSAIDIA WATANZANIA KUPITIA KIPINDI CHA MIMI NA TANZANIA

Miss Tanzania 1999, Hoyce Temu akimlisha chakula Narsa Ramadhan (2) akiwa na mama yake Tatu Saleh (kushoto) wakati wa hafla ya chakula kilichondaliwa kwa watoto na wazee wanaoishi katika makazi ya wazee na watu wenye ulemavu wasiojiweza yaliyopo Nunge, Kigamboni, jijini Dar es Salaam ikiwa ni mojawapo ya shughuli ya kijamii kuuaga mwaka 2015 na kukaribisha mwaka mpya 2016.(Imeandaliwa na Modewjiblog ) Licha ya kuvaa taji la ulimbwende, Miss Tanzania 1999, Hoyce Anderson Temu amekuwa mfano wa kuigwa kwa walimbwende waliopita wa taji hilo nchini kwa kujitoa kusaidia jamii ya Tanzania kwa kutumia nafasi aliyonayo nchini. Hoyce ambaye ni mzaliwa wa Arusha amekuwa mstari wa mbele kusaidia Watanzania ambao wanamatatizo mbalimbali kama ya kiafya na elimu ambapo amekuwa akitoa misaada na muda mwingine kutafuta wadhamini ili kusaidia jamii ambayo ameifikia kwa muda huo. Baadhi ya mafanikio ambayo yamepatikana kupitia kipindi cha Mimi na Tanzania ni pamoja na kupeleka w...

WAZIRI UMMY MWALIMU ATEMBELEA MUHIMBILI KUKAGUA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametembelea hospitali ya Taifa Muhimbili kukagua utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli la kuwataka watumishi wa wizara hiyo waliokuwa wakilitumia jengo la Kitengo cha Afya ya Uzazi na Mtoto kuhamisha ofisi zao na kuliacha kwa ajili ya matumizi ya wodi ya wazazi. Akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo katika hospitali hiyo, Waziri Ummy amesema kuwa mpaka kufikia kesho tayari jengo hilo litakuwa limeanza kutumika kwa kuwa watafanya kazi ya kuhamisha makabrasha ya watumishi hao usiku kucha kuhakikisha agizo la Rais John Magufuli linatekelezwa mara moja. Picha mbalimbali zinaonesha Waziri Ummy Mwalimu akikagua utekelezaji wa agizo la Rais John Magufuli pamoja na watumishi na vibarua wakihamisha nyaraka na makabrasha mbalimbali kutoka kwenye jengo lililokuwa likitumiwa kama ofisi na watumishi wa wizara hiyo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam. ...

WAKULIMA MBOZI WALIA NA MBEGU FEKI

Na Esther Macha,Tunduma MAWAKALA wa forodha wanaotoa huduma kwa wateja katika mji wa Tunduma Mkoani Mbeya wameonywa kuacha lugha chafu mbazo zinaweza kukimbiza wageni toka nje ya nchi wanaofika katika mpaka huo kupata huduma . Hayo yamesemwa jana na ofisa elimu kwa mlipa kodi wa mamlaka ya mapato (TRA)Mkoa wa Mbeya , Kissa Kyejo wakati wa semina ya uhamasishaji na sheria na taratibu katika shughuli za mawakala wa forodha na viongozi wa TRA. Alisema kuwa mawakala wote wa forodha ni muhimu kuwa na lugha nzuri kwa wateja kwani mpaka huo umekuwa ukitoa huduma kwa wageni mbali mbali . “Sehemu kama hii ambayo ina mchanganyiko wa watu na wanaotoka maeneo mbali mbali hapa nchini muhimu samba lugha nzuri ikatumika kwa wateja kwani vinginevyio tutapoteza wageni wengi wanaotoka nchi za jirani”alisema Ofisa huyo Kwa upande wake Ofisa Mfawidhi wa forodha wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA)Mkoa wa Mbeya ,Cosmas Magori alisema katika utendaji ni vema kila wakala wa forodh...

MBOZI FARMERS UP IN ARMS WITH FAKE SEEDS!

At total number of 8o farmers from Isansa and Magamba wards, Mbozi District in Mbeya Region, have complained about the Kibo Seeds Company through its agents for selling fake seeds that did not geminate, where they were forced to incur the cost of buying another seeds and thus exposing them to the loss of millions of shillings. Speaking to the Guardian on Sunday yesterday, the farmers said the seed agents had sold them Kitale Hybrid 614 variety seed which is produced by Kibo Seed Company from Kenya.  One of the farmers, Elia Shipelele said that when he discovered that the seeds were counterfeit he sought for other seeds and fertilizer in order to conform to the farming season. However, Shipelele has asked the government to look into the possibility of conducting inspections to the seed companies and seed agents before sending seeds to farmers in order to avoid losses. For his part, Agricultural and Livestock Officer of Magamba Ward, Clemence Mmuya admitted the ...