Skip to main content

Posts

Showing posts from March 18, 2016

Hope and a New Beginning for Manyash

As Spring approaches our thoughts often turn to hope and new life. Many of the children in our Education Program have been rescued from a life of fear and suffering. With your help they get a new beginning. Manyashi is one of these children. I met Manyashi on my first trip to Tanzania. I was visiting a government school for the blind, because I had heard that many children with albinism were living there. Fifty to one hundred such children had been rounded up "for their protection" by the government after a rash of attacks on people with albinism. Taken from their families, homes and communities, they now lived in a school that was overcrowded and run down. There were few teachers, books or materials so the students were not really learning anything.  Then I noticed a little boy, Manyashi, pushing his way through the crowd of children and running to me.   He looked so scared. Perhaps it was my white hair and fair...

Tigo yafungua duka jipya mkoani Singida

Mkuu wa Wilaya ya Singida mjini, Saidi Amanzi(katikati) akikata utepe kuzindua duka jipya la Tigo mkoani Singida jana, Wanaoshuhudia kushoto ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini, George Lugata na Meneja huduma kwa wateja Tigo, Halima Kasoro.  Mkuu wa Wilaya ya Singida mjini, Saidi Amanzi(kulia) akiangalia bidhaa mbalimbali mara baada ya kuzindua duka jipya la Tigo mkoani Singida jana. Wanaoshuhudia katikati ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini, George Lugata na kushoto ni Meneja huduma kwa wateja Tigo, Halima Kasoro.  Mkuu wa Wilaya ya Singida mjini, Saidi Amanzi(katikati) akiongea na mmoja wa wafanyakazi wa Tigo mara baada ya kuzindua duka jipya la Tigo mkoani Singida jana,  Mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini, George Lugata akimkabidhi zawadi Mkuu wa Wilaya ya Singida mjini, Saidi Amanzi mara baada kuzindua duka jipya la Tigo mkoani Singida jana,  Mkuu wa Wilaya ya Singida mjini, Saidi Amanzi(katikati) a...

UAMUZI WA RAIS MAGUFULI KUTOA ELIMU BURE UTACHOCHEA USAWA WA KIJINSIA NCHINI – UMMY MWALIMU

Hayo yalisemwa na Waziri wa Afya na Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mheshimiwa Ummy Mwalimu (Mb.)wakati akitoa taarifa ya nchi katika Mkutano wa 60 wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu Hali ya Wanawake Duniani (CSW).  Mhe Ummy alieleza kuwa Adhma ya Mheshimiwa Dkt John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kutoa Elimu bure kwa shule za Msingi na Sekondari itakuwa na matokeo makubwa ya kuongeza udahili wa wanafunzi katika Elimu ya msingi, Sekondari na Elimu ya juu. Akaongeza kwamba uimarishwaji wa upatikananaji wa elimu kwa wanawake ni msingi mkubwa wa kuwezesha wanawake kiuchumi, kwakuwa elimu hutoa ujuzi, maarifa na hali ya kujiamini kwa wanawake kuendea fursa za kiuchumi. Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ( Mb) akizungumza wakati wa majadiliano kuhusu dhima ya uwezeshwaji wa wanawake na uhusiano wake na utekelezaji wa Agenda 2030. katika mchango wake Waziri anayeongoza ujumbe wa Tanzan...

SERIKALI YAPONGEZA OPERESHENI SAFISHA YA TFDA, WAUZA DAWA ZA SERIKALI KUHUKUMIWA

Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Hamisi Kigwangalla amepongeza juhudi za Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) nchini kwa hatua wanazochukua katika utendaji wake ikiwemo zoezi la kukagua madawa yasiyofaa kwa Jamii ikiwemo yale yaliyokwisha muda wake hasa katika zoezi la "Operesheni Safisha" iliyofanywa karibu mikoa mbalimbali ya Tanzania Bara huku akitaka wale wote waliohusika kupandishwa Mahakamani kwa hatua za kushughulikiwa. Kigwangalla ameyasema hayo mapema jana Machi 17 jijini Dar es Salaam baada ya kupewa matokeo ya Operesheni Safisha kwa maduka ya dawa muhimu na yasiokuwa na vibali iliyofanywa na Baraza la Wafamasia na TFDA pamoja na Jeshi la Polisi, amesema dawa zilizokamatwa zitaifishwe na kupeleka katika hospitali za serikali. Amesema kuwa haiwezekani wananchi wakakosa dawa za serikali na kuonekana katika maduka ya dawa na watu hao wakaachwa bila kuchukuliwa hatua. Kigwangalla amesema kuwa katika operesheni hiyo baadh...

Brazil protests: Rousseff and Lula supporters rally amid corruption claims

Factions backing president and her predecessor to put on show of strength in face of mass protests and moves towards impeachment Brazil protests: share your photos, videos and experiences Luiz Inácio Lula da Silva is greeted by supporters after his appointment as chief of staff to president Dilma Rousseff. Photograph: Adriano Machado/Reuters Bruce Douglas in Brasília At the end of a week of extraordinary political drama, constitutional chaos and massive anti-government protests, supporters of Brazilian president Dilma Rousseff and her predecessor, Luiz Inácio Lula da Silva , will rally in cities across the country on Friday. Why is Brazil's government in crisis? – the Guardian briefing Read more The Frente Brasil Popular , a network of trade unions, social movements and other organisations sympathetic to the ruling Partido dos Trabalhadores (PT) said it would hold events in 45 cities in defence of democracy and the rights of the working class. ...