Skip to main content

Posts

Showing posts from December 14, 2015

IAWRT YAZINDUA RIPOTI YA NAFASI YA MWANAMKE KATIKA VYOMBO VYA HABARI

Bi Razia Mwawanga kutoka IAWRT akifungua mkutano wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti kuhusu wanawake wanavyopewa nafasi hasa katika vyombo vya habari hasa hapa nchini.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja blog ) Mkurugenzi wa Shirika lisilo la kiserikali nchini la International Association of Women in Radio and Television (IAWRT) Tanzania Bi. Rose Haji Mwalimu akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa ripoti ya utafiti kuhusu wanawake wanavyopewa nafasi hasa katika vyombo vya habari hasa hapa nchini Mgeni rasmi Mkurugenzi wa TAMWA, Bi. Edda Sanga(kushoto) akiwahamasisha wanawake kuwa na uthubutu ili kuyafikia malengo waliyojiwekea na kutojiona hawawezi kisa wao ni watoto wa kike, kulia ni Mkurugenzi wa IAWRT Tanzania Bi. Rose Haji Mwalimu. Mgeni rasmi Mkurugenzi wa TAMWA, Bi. Edda Sanga (kushoto) pamoja na Mkurugenzi washirika lisilo la kiserikali nchini la International Association of Women in Radio and Television (IAWRT) Tanzania Bi. Rose Haji Mwalimu wakizindua ripoti ya utafiti ku...

UNODC YAKABIDHI VIFAA VYA MAABARA JESHI LA MAGEREZA

Afisa Mipango wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC), Immaculata Nyoni akizungumza jambo kabla ya kukabidhi vifaa vya maabara kwa Jeshi la Magereza nchini. Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa akizungumza jambo wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya maabara kwa Magereza Tanzania. Afisa Mipango wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC), Immaculata Nyoni pamoja na Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa wakikata utepe kuashiria kukabidhiwa vifaa vya maabara vilivyotolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC). Afisa Mipango wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC), Immaculata Nyoni akitolea ufafanuzi vifaa vya maabara alivyokabodhi kwa Jeshi la Magereza ili kusaidia kuwapima wafungwa walioko magerezani. Kamishna wa Sheria na Uendeshaji w...

Simbaya hails JPM for his braveness of cleaning the mess within the government

THE former President of Union of Tanzania Press Clubs (UTPC), Kenneth Simbaya has commended President Dr. John Pombe Magufuli’s braveness of cleaning the mess within the government, including fighting corruption. Simbaya said that the measure that the president was taking aimed at bringing efficiency and boosting collection of government revenue for improving provision of social services such as education and health.  Speaking to the Guardian yesterday during a telephone interview, he said the government should improve the collection of domestic revenue, in order to raise the health budget, particularly for HIV/AIDS, maternal health, pregnant women and infants. He said that the government should be committed to collect domestic revenue and prevent embezzlement of public funds in order to improve the education and health sectors, rather than depending on donor funds which sometime comes with strings or sometimes doesn’t come. He said that his stance of...

UK pushing for limits on air pollution to be relaxed, documents reveal

In papers seen by the Guardian, government calls for carmakers to be allowed to far exceed the nitrogen oxides limit until 2021   Despite the Volkswagen scandal, the government was in October more concerned about protecting the motor industry than Britons’ health, says ClientEarth. Photograph: Sergiy Serdyuk/Alamy Mark Tran The UK is pushing for a weakening of air pollution limits and a delay to their introduction in response to lobbying from the motor industry, documents reveal. In revelations that will raise questions over the British government’s commitment to the climate change deal agreed in Paris at the weekend, papers obtained by ClientEarth, a firm of environmental legal experts, and seen by the Guardian, showed the UK had pushed for limits on pollution to be relaxed. Paris climate deal: the world's greatest diplomatic success The government’s papers called for carmakers to be allowed to far exceed the nitrogen oxides (NOx) limit of ...