Skip to main content

Posts

Showing posts from February 21, 2016

Mother Language Day

Message from Ms Irina Bokova, Director-General of UNESCO, on the occasion of the International Mother Language Day, 21 February 2016 The theme of the 2016 International Mother Language Day is “Quality education, language(s) of instruction and learning outcomes.” This underlines the importance of mother languages for quality education and linguistic diversity, to take forward the new 2030 Agenda for Sustainable Development. In Sustainable Development Goal 4, the 2030 Agenda focuses on quality education and lifelong learning for all, to enable every woman and man to acquire skills, knowledge, and values to become everything they wish and participate fully in their societies. This is especially important for girls and women, as well as minorities, indigenous peoples, and rural populations. This is reflected in UNESCO’s Education 2030 Framework for Action, a road-map to implement the 2030 Agenda, encouraging full respect for the use of mother language in teaching a...

Jeb Bush ends presidential bid after Donald Trump wins in South Carolina

The former Florida governor took to the stage in South Carolina after a disappointing finish in the first-in-the-south Republican primary Sabrina Siddiqui and Adam Gabbatt in Columbia, South Carolina Jeb Bush suspended his presidential campaign on Saturday, following a bruising loss in the South Carolina primary he had hoped might revive his bid to become the third member of his family elected to the White House. Bush, the son and brother of US presidents, made the announcement in a somber speech before supporters in Columbia after earning just 8.3% of the vote with 67% reporting in the third primary contest of 2016. “The presidency is bigger than any one candidate,” Bush said. “The people of Iowa, New Hampshire and South Carolina have spoken.” Bush, who struggled from the outset to get his campaign off the ground despite amassing a war chest of $100m, was visibly emotional and occasionally choked up as he spoke. Flanked by his wife, Columba, and Linds...

MIKAELA PROFESSIONAL TAILORS WAPANIA KUWAINUA WABUNIFU WA MAVAZI JIJINI MWANZA

Idda Adam ambae ni Mkurugenzi wa Mikalea Professional Tailors ambao ni Mabingwa wa Ushonaji wa Mavazi ya aina mbalimbali Jijini Mwanza, akionyesha mavazi mbalimbali yanayopatikana ofisini kwake, Mtaa wa Ghana GreenView, Nyamanoro Jijini Mwanza. "Sisi tunahusika na suala la urembo pamoja na ushonaji wa mavazi ya kila aina ikiwemo mavazi ya Kitchen Party pamoja na Harusi (Wanaume kwa wWanawake). Tumelenga kukata kiu ya ushonaji wa mavazi kwa wakazi wa Jiji la Mwanza ambao awali walikuwa wakishona nguo zao nje ya Mwanza; Pia tunawatumia wabunifu wa mavazi kutoka Jijini Mwanza na kutumia ujuzi wetu wa ushonaji na hivyo kuzalisha mavazi ambayo wateja wetu wamekuwa wakiyafurahia". Anasema Idda na kuwahimiza kutembelea ofisini kwake au kuwasiliana nae kwa nambari 0767 68 28 88. Idda Adam anasema Mikalea Professional Tailors wabunifu na washonaji wa mavazi ya kila aina. Mavazi mbalimbali kutoka Mikalea Professional Tailors ambao ni Mabingwa...

TSOI WAFANYA SEMINA YA SIKU MOJA KWA WANAFUNZI WA KIKE TOKA VYUO VIKUU NA TAASISI MBALIMBALI ZA ELIMU JUU KUTOKA MKOA WA DAR ES SALAAM

Mbunifu wa kazi za ufumaji na mmiliki wa Fflorinyan Designes Ms. Flora M. Kawa akizungumza jambo katika uzinduzi wa semina ya siku moja ya Wanafunzi wa Kike toka vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimujuu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Mshauri kutoka Taasisi ya Saratani Ocean Road, Dk. Dominista Kombe akitoa semina kuhusu ugonjwa wa Saratani pamoja na madhara yake wakati wa uzinduzi wa semina ya siku moja ya Wanafunzi wa Kike toka vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimujuu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa TASOI, Bi. Belinda Mlingo akiwaonesha pesa wanafunzi wa kike wa vyuo vikuu na kuwahasa wanafunzi kujihusisha na ujasiliamali maana ndio mafanikio yao ya baadae. Mwanachuo Doreen Tesha akiuliza swali wakati wa uzinduzi wa semina ya siku moja ya Wanafunzi wa Kike toka vyuo vikuu na taasisi mbalimbali za elimujuu kutoka mkoa wa Dar es Salaam. Afisa Mwandamizi Idara ya Matekelezo NSSF Bw. Abubakar Mshangama akiwaelezea wanvyuo ...

KATIBU MKUU BAWACHA AZINDUA RASMI OFISI MPYA YA MBUNGE WA VITI MAALUMU MKOANI MWANZA

Katibu Mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema Taifa BAWACHA na Mbunge Viti Maalumu Taifa Grace Tendega (katikati) jana February 20,2016 akizindua ofisi Mpya ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza Chadema, Susan Masele (Kulia). Kushoto ni Paschazia Renatus ambae ni Katibu wa Bawacha Mkoa wa Mwanza. Akizungumza katika Uzinduzi huo, Tendega alipongeza uwepo wa ofisi hiyo ambayo itakuwa ikisikiliza kero za wananchi bila kujalisha itikadi zao za kisiasa kwa ajili ya kupokea hoja za wananchi na kuzitafutia ufumbuzi ikiwemo kuzisemea bungeni. "...Kazi ya Mbunge siyo kugawa hela. Kazi ya Mbunge ni kusikiliza kero za wananchi na kuzitatua. Na mimi niseme nitakuwa mwakilishi bora na hapa tumeanza tu ambapo katika ofisi hii nitakuwa napokea na kusikiliza kero za wananchi na kwenda kuzisemea bungeni... Alisema Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mwanza Chadema, Susan Masele. Ofisi hiyo inapatikana Mtaa wa Ghana Green View, Kata ya Nyamanoro, Jimbo la Ilemela Mkoani Mwanza...