Skip to main content

Posts

Showing posts from September 11, 2015

MAADHIMISHO YA SIKU YA BIOGESI KATAIFA YAFANA NJOMBE

Mfugaji wa Kitongoji cha Lunyunyu katika Halmashauri ya Mji Njombe, Isaya Mlelwa (kulia) akionesha chakula cha kuku kinachozalishwa kutokana na tope chujio (bio-slurry) kwa kamati ya kitaifa ya biogesi pamoja na wataalamu kutoka Wilaya ya Njome, walipotembea mfugaji huyo anayetumia mtambo wa biogesi. Mwandishi wa habari Friday Simbaya akionesha mboga za maji iliyozalishwa kwa kutumia mbolea hai (bio slurry) kwa kutumia kilimo hifadhi (conservation agriculture) katika kitongo cha Lunyunyu kijiji cha Magoda katika halmashauri ya mji wa Njombe jana. Mwandishi wa habari Friday Simbaya akikoroga kinyesi cha ng'ombe kwa ajili ya kuzalisha biogesi walitembe kijiji cha Ibumila. Mfugaji na mkulima wa kijiji cha Ibumila kata ya Kichiwa wilayani Njombe Huruma Mhapa (kulia) akielezea namna alivyo nufaika na matumizi ya biogesi kwa kutumia samadi alipotembelewa na kamati ya uhamasishaji wa matumizi ya biogesi (NBSC) pamoja wataalum kutoka Programu ya uenezi wa mita...